MwasilianiBruce

MwasilianiBruce Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de MwasilianiBruce, Centre d’affaires, Nyabibwe, Bukavu.

🎙️ Mwasiliani Bruce |

🎼 Uendelezaji wa kwaya za Waadventista
📣 Masoko ya taasisi, miradi & matukio
🗞️ Ukusanyaji & usambazaji wa taarifa za SDA :
➡️ Kampeni za injili
➡️ Vikao & semina
➡️ Ubatizo & shughuli za kanisa

HERI YA KUTIMIZA MIAKA MINNE YA NDOAKWAJAPHET ZABRON & LULU KIKULU❤️❤️👰‍♀️🤵‍♂️
13/08/2026

HERI YA KUTIMIZA MIAKA MINNE YA NDOA
KWA
JAPHET ZABRON & LULU KIKULU
❤️❤️👰‍♀️🤵‍♂️

11/08/2026

KATIKA FAMILIA YEYOTE, KATIKA KABILA YEYOTE, KATIKA JAMII YEYOTE, PANA WEZA KUTOKA MWESHIMIWA.

USI MDHARAU MTU KUTOKANA NA HALI YAKE YA SASA. KESHO YAKE INAWEZA KUSHANGAZA.

JE WATAMBUA KWAMBA JOHN POMBE MAGHUFULI ALI WAHI KUFANYA KAZI ZIFWATAZO KABLA HAJAKUWA RAIS?

1. ALIKUWA AKIUZA MAZIWA
2. ALIKUWA MCHUNGAJI WA NG'OMBE.

NI MUNGU NDIYE APANGAE MAISHA.

BE HUMBLE!

09/08/2026

Kwaya ya SALASALA Imeanza safari Jumamosi jioni kuelekea kwenye Makambi kwa wiki 2 Mfulilizo nchini KENYA katika Makambi ya Nyangore na Mwangaza na sasa wapo safarini.

*Tunawashukuru watu wa KENYA kwa upendo wao bado wameendelea kuwa chachu ya maendeleo ya UTUME wa kwaya yetu ya SALASALA .*

*Tunaomba kibali cha mbingu, BWANA akainuliwe katika makambi haya.*

*_SALASALA SDA CHOIR-gospel to the digital World_* 🇹🇿🇰🇪

05/08/2026

Pole sana kwa ajali iliyowapata ndugu na dada zetu wa imani huko Kinyerezi. Tunawaombea wote walioathirika, na Mungu aendelee kuwa faraja, nguvu na tumaini kwa familia zilizopoteza wapendwa wao pamoja na kanisa lote katika kipindi hiki kigumu. Mwenyezi Mungu awarehemu waliofariki na awape uponyaji wa haraka majeruhi. Amina.

Kinyerezi Sda Church

03/08/2026

ONE VOICE 2026

COMMUNIQUÉJe, una ujuzi wa kazi fulani lakini huna Brevet National? Umepata diploma lakini bado huna ajira? Uliacha shul...
12/07/2026

COMMUNIQUÉ

Je, una ujuzi wa kazi fulani lakini huna Brevet National? Umepata diploma lakini bado huna ajira? Uliacha shule kwa sababu ya ukosefu wa uwezo wa kifedha? Au umri wako umeenda lakini bado unatamani kujifunza kazi ya kujitegemea?

Maswali yako yamepata majibu!

CENTRE DE FORMATION PROFESSIONNELLE BAASEEMI inatangaza kufunguliwa rasmi kwa mafunzo mapya kuanzia Jumatatu , tarehe 20/07/2026 , katika Centre de Nyabibwe , saa 2:00 kamili asubuhi.

Mafunzo yanayotolewa ni haya:

1. Coupe et Couture (Ushonaji)

2. Menuiserie (Useremala)

3. Informatique (Kompyuta)

4. Horticulture (Kilimo cha mboga)

5. Maçonnerie (Uashi)

Warsha (ateliers) zimeandaliwa vizuri na walimu wenye uzoefu ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata ujuzi wa kutosha na wa vitendo.

Kumbuka kwamba elimu ya ufundi siyo kujifunza tu, bali ni njia ya kujiajiri na kujipatia kipato.

Wote wanakaribishwa:
Watoto, wasichana, wavulana, akina mama na akina baba. Jiunge nasi ujifunze taaluma itakayokusaidia kubadili maisha yako.

Kwa maelezo zaidi, fika katika ofisi za EPT BAASEEMI (iliyokuwa ikiitwa Institut BAASEEMI) au wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo:

+243 975 527 805
+243 841 233 793

Mwanzo wa mafunzo: Jumatatu, 20/07/2026
Mwisho wa mafunzo: Jumanne 15/12/2026

Nyabibwe, tarehe 12/07/2026

Kwa niaba ya CENTRE DE FORMATION PROFESSIONNELLE BAASEEMI

UONGOZI

Katibu Wa Skf, Mweka Hazina, Mwenyekiti na kiongozi wa walei katika SKF wakiwa katika Mi-Seesion Mjini Goma. Lengo Maalm...
10/07/2026

Katibu Wa Skf, Mweka Hazina, Mwenyekiti na kiongozi wa walei katika SKF wakiwa katika Mi-Seesion Mjini Goma.

Lengo Maalmu: Mahubiri Ya One Voice

ÉCOLE PROFESSIONNELLE ET TECHNOLOGIQUE BAASEEMI
09/07/2026

ÉCOLE PROFESSIONNELLE ET TECHNOLOGIQUE BAASEEMI

08/07/2026

Joueur détesté par la FIFA mais qui a réalisé ce géant parcours!
Cr7 est Extraordinaire.

Adresse

Nyabibwe
Bukavu

Heures d'ouverture

06:00 - 17:00

Téléphone

+243854401717

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque MwasilianiBruce publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à MwasilianiBruce:

Raccourcis

Partager