Wazalendo infos TV 24/24h

Wazalendo infos TV 24/24h �Habari za kila siku kwa wasikilizaji kutoka idhaa ya kiswahili

27/05/2022

Minembwe Kivumu 🇨🇩
Gumino waliuwa mwenzie alikuwa murundi pa Kivumu tariki 26 May
😍Kisa ni kwamba alikataa kujiunga na wao wakamufwatua risasi .


.

🇨🇩Muskilizaji maoni ni yapi kuhusu hizi Safari za Rais Félix Antoine Tshisekedi kila baada ya week anasafiri  .👉Maoni ya...
26/05/2022

🇨🇩
Muskilizaji maoni ni yapi kuhusu hizi Safari za Rais Félix Antoine Tshisekedi kila baada ya week anasafiri .
👉Maoni yako tutayasoma live hapa kwenye ukrasa huu 🔔 .

26/05/2022

🔔Muskilizaji wa haya nikati ya machache tulio kuandalia magaribi hii??
🇨🇩
``Kufatana na hali ya usalama mdogo unaendelea kuripotiwa upande wa
👉 Rutshuru mapambano mapya ya ripotiwa leo hii kwenye ngome ya M23 ilio shambuliwa na Fardc🇨🇩 na kukimbiza waasi wa M23 na sasa ngome hiyo iko mikononi mwa Fardc 🇨🇩.
👉Beni wizi wenye kushikilia silaha wa shambuliya familia ya mzee Rashidi Emmanuel usiku wa kuamukia Leo tariki 26/ May.``
Sambazia wengine na aime page 👑 .

23/05/2022

🇨🇩
Mitiani yaendeshwa kote inchini kongo kwenye darasa la sita ijumaa yote ni Dissertation tunawatakia bahati na mafanikio ✌️
.

23/05/2022

🔔Salamu zetu zikufikiye mupendwa msikilizaji wa idhaa hii ya kiswahili .

22/05/2022

🇨🇩
Shetani wa Kabila la kinyarwanda afukuzwa pa Lulimba agombolewa naye Kanali .

15/05/2022

✳️ Asante wapedwa naona tunazidi kusonga mbele 1K mentions j'aime.

11/05/2022

💔Salamu zetu ziwafikie nyote mahali mulipo
🇨🇩 +243 .

10/05/2022

🇨🇩Habari za leo
⚔️Tarafani Fizi : mapambano yalio ripotiwa tangu siko ya Mungu pa ⚔️ watu 4 walipoteza uhai wao
◾Pa Bigaragara kuliripotiwa vita hiyi Siku ya kwanza MAY 09 mapambano Katia ya Biloze Bishambuke Wazalendo na Gumino watu 7 upande wa Gumino.
◾Kashologosi pia kuliripotiwa mapambano kati ya Biloze Bishambuke na Twirwaneho .
Kijana Mugabe ilipoteza maisha ni kijana wa 20ans .
BILOZE BISHAMBUKE ⚔️ GUMINO wamerudi nyuma.
💪Courage FABB.
Partager kwa wengine
🎥Wazalendo TV.
🎬 Je ne suis pas au courant de tout ça 😍.

07/05/2022

🎙️Naturonge : Si mbali n'a Kijiji Minembwe ambapo kumeripotiwa vita kati Biloze Bishambuke Wazalendo na Twirwaneho Gumino Leo hii 06/05/2022
Matokeo bado kujulikana
📽️Wazalendo infos TV
🎬.

07/05/2022

🎙Karibu kufata habari
🇨🇩Uvira : wanajeshi wenye kushikilia silaha wamekamatwa uvira wakiwa wanashikilia silaha, wazalendo waliwakamata walikuwa wakitoka Goma wakielekea kwenye milima mirefu .
🎥Aime partager page kwa wengine .
📸Wazalendo infos TV.
Tuko en direct🎬

Adresse

Goma

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Wazalendo infos TV 24/24h publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager