13/06/2026
🔥 OUT NOW — “SECOND PRESS” by TricksHommieRyan🔥
Tricks HR anaongea na God moja kwa moja, akieleza hali halisi ya maisha tunayoishi Kenya sasa hivi. 🇰🇪💭
Hii si ngoma ya kuburudika tu, ni story ya hustle, pressure za maisha, na maswali ambayo vijana wengi wanajiuliza kila siku. 🎤🔥
“Ilipofika hapa ni noma…”
Bars ziko deep, delivery iko safi, na ujumbe unafika straight. K**a unapenda hip hop yenye inaongea ukweli wa maisha, hii ni lazima uiskize. 🌴💯
🎧 Stream “Second Press” sasa na support mziki wa Shamba!
LINK: https://youtu.be/DTjVK2HWyFQ?si=sWHryfyCJ-omYl9C