13/10/2026
Watu nataka tuweke kwa maombi ata ikiwezekana tuwafanyie fasting, ni hawa wa kutumia Toothpaste inaitwa T guard. Bwana these people are suffering,the damage this thing is causing,you will think its being manufactured in state house by the devol himself. Tooth paste inango’a watu meno jameni. Meno inaanza kukatika k**a chalk bwana,ata huskii ikikatika,ile kitu inamalisa sensitivity mdomo inabaki k**a Tundu ya warembo wa roysambu,yani haiskii kitu. Asubuhi unaamka unajipata na meno nusu
Na Toothpaste yenyewe ni multi purpose. Ukipika ugali ukose mboga,unaguzisha tu ugali kwa dawa unameza. Ukiingia bafu uone hakuna sabuni,unajipaka T guard unajikamua. Shida yake kubwa ni ukitumia kuosha mdomo,saa sita mchana jua ikikumulika namna hii, nayo inaanza effervesence. Ile kitu inaesafanya ufutwe kasi aki. Mdomo inanuka nik**a ulitafuna socks ya plumber bwana. Eih! Sasa ikifika saa saba watu wa T guard huwa hawaongei, ni Sign language mpaka jioni
Oi my fada,help these pipo abeg
Khabusie!😁