Év. Shepherd élijah

Év. Shepherd élijah Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Év. Shepherd élijah, Brand, Nairobi, City Estate, City Estate.

18/05/2026

゚viralシ

karibuni kwetuEast west home is .... Makizia Kwa comment section Év. Shepherd élijah
17/05/2026

karibuni kwetu

East west home is .... Makizia Kwa comment section

Év. Shepherd élijah

16/05/2026

゚viralシ

God has done it again🎈 more congrats 🎀🎈iwe ya heri 🙏🙏@
08/05/2026

God has done it again🎈 more congrats 🎀🎈

iwe ya heri 🙏🙏

@

We always look young and shinning because Jesus marinated us🙏🙏Follow my page, like and share na Mungu akubarikiÉv. Sheph...
04/05/2026

We always look young and shinning because Jesus marinated us🙏🙏

Follow my page, like and share na Mungu akubariki

Év. Shepherd élijah

04/05/2026

Asante Kwa Bwana 🙏

Pendo la Mungu nila kweli

📖 Somo: Mafanikio ya Kweli Huanzia Ndani yako.Bwana Yesu asifiwe.3 Yohana 1:2“Mpenzi, naomba ufanikiwe katika mambo yote...
21/04/2026

📖 Somo: Mafanikio ya Kweli Huanzia Ndani yako.

Bwana Yesu asifiwe.

3 Yohana 1:2
“Mpenzi, naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema, k**a vile nafsi yako ifanikiwavyo.”

🔑 Mambo ya Kujifunza

1. Mafanikio si pesa tu
Watu wengi wanafikiri mafanikio ni kuwa na fedha au mali tu.

Lakini hapa tunaona mafanikio yanahusisha:
✔Afya ya mwili
✔Amani ya moyo
✔Hali yako ya kiroho

👉 Unaweza kuwa na pesa nyingi lakini huna amani, hiyo si mafanikio ya kweli.

Ndiyo maana wachawi wakitaka kukuharibia wanak**ata nafsi yako, na kuifungia isitembee, au itembee katika mahangaiko makubbwa yasyo isha.

Kadri nafsi inavyohangaika na kukutana na ugumu ndio kiwango chako na mwisho wako wa kufanikiwa na kumiliki.

Mithali 23:7
“Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo; .......

2. Nafsi ndiyo msingi wa kila kitu
Mstari unasema “k**a nafsi yako ifanikiwavyo”

Fahamu kwamba
🤔Ukimjua Mungu na kuishi sawa kiroho,ukawa na moyo safi na fikra njema

👉 Hapo ndipo maisha yako ya nje yanaanza kunyooka.

3. Mungu anajali maisha yako yote siyo kiroho tu, bali pia:
Kazi zako.
=Afya yako
=Maisha yako ya kila siku

👉 Mungu hataki ufanikiwe upande mmoja tu, bali kwa ujumla.

Mathayo 19:27
“Ndipo Petro akamjibu akasema, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe; tutapata nini basi?”

Mathayo 19:29
“Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu, au dada, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, naye ataurithi uzima wa milele.”

💡 Zingatia hili.
Mafanikio ya kweli yanaanza ndani ya moyo wako, kisha yanaonekana nje.
Ukijenga nafsi yako vizuri, maisha mengine yatafuata.

Mathayo 6:33.
“Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.”

Follow 👇

Év. Shepherd élijah 🙏🙏

29/03/2026

Address

Nairobi, City Estate
City Estate

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Év. Shepherd élijah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category