Muzammil Lakicha

Muzammil Lakicha 𝐖𝐑𝐈𝐓𝐄𝐑 𝐀𝐍𝐃 𝐀𝐍𝐀𝐋𝐘𝐒𝐓 𝐎𝐍 𝐏𝐎𝐋𝐈𝐓𝐈𝐂𝐀𝐋 𝐈𝐒𝐒𝐔𝐄𝐒.

26/01/2026

Mtu akikuonyesha picha kwenye simu yake,usipanguse (usiswipe) picha zake nyingine.Unaweza kuona kitu cha faragha bila kukusudia.

21/04/2025

Ziwa la samaki wengi

06/04/2025

How did it start? Watched till end

😭😭😭
17/11/2024

😭😭😭

08/02/2024

Kwani,mtu hawezi ishi bila kupendwa na mtu....

06/02/2024

Mwanamke huvutia mwanaume akiwa na nini!

06/02/2024

Ni nini?....hufanya mwanaume asitamani mwanamke mwingine...

01/02/2024

Ni kosa gani?.....huwezi msamehe mtu kwa vivyote vile....

31/01/2024

Utaendaje? kwa binadamu k**a wewe akuombee Mungu ili upone maradhi au chochote kile ulichokidhamiria kukipata....ama kuna mtu ambaye hafai kusimama mbele ya mola wake na kumwomba.....

30/01/2024

Binadamu wote ni sawa....

26/01/2024

Chuki bila sababu hutokea pale ambapo,unayempenda haoni wala hatamini juhudi zako zote unazozifanya kwa ajili ya maisha yenu za siku za usoni....

Address

Mombasa

Opening Hours

09:00 - 17:00

Telephone

+254704620870

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muzammil Lakicha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Muzammil Lakicha:

Share