LAVIE

LAVIE Durable goods

No caption # Nyar Joluo.
13/12/2021

No caption # Nyar Joluo.

Sweet home
06/07/2021

Sweet home

13/05/2020

#

11/05/2020

MARIA WRITTEN UPDATES.
Tuesday on Maria.

Mela atauliza Brenda nini ingine inaweza explain mbona Maria alishika simu ya Luwi Brenda atamwambia hiyo ndo anajaribu ku-figure out. Mela atamwambia ati if she was her(Brenda), she wouldn't ruin the possibility that Maria's heart Luwi has gone to the ghetto to be with her...
Brenda atamuuliza k**a kuna kitu anajua ye hajui Mela amshow ni kusema tu amesema and also she's basing her judgement from what Brenda told her that Maria alifukuzwa kwa kina Hausa...so kuna possibilities mbili... either Luwi ameenda kumwona ghetto au wako place ingine. Brenda atauliza so Maria anadhani anaweza chukua kilicho chake???...atamfunza lesson yenye hatawahi sahau coz nobody messes with Brenda.
Kanini atakua akiangalia Sofia akifanya drama zake then William aingie aulize k**a kila kitu kiko sawa.... atauliza kitu gani mbaya na Sofia??? Ako sawa?
Kanini atamwambia ye ndo amwambie coz alimpromise kila kitu kitakua sawa but sasa hali ya Sofia inakua mbaya zaidi.
William ataita Sofia, Sofia atamwangalia amwite watchman.. atamuuliza nini ilimchukua muda mrefu kufungua gate.....ama anadai Sofia amfute kazi???
Maria atajiambia itabidi amejituma kubuy vitu za nyumba atleast ikue fity...kiasi atasikia mbisho kwa mlango aanze kutandika kiti haraka... kufungua apate ni kina Fally na Pupa.
Wakiingia watakuwa exited kuona TV. Wataambia Maria awapeleke na rada hata... Maria atawaambia alinunuliwa na arif wake k**a present.
Atawauliza rada Yao wamwambie walibonga na Bondi na Tobi na walishow Bondi Kobi anadai siz yake juu hana msee wa kumcheki mtaani so awachilie Tobi tu... Maria atawauliza k**a wanadhani Bondi atakubali.
Fally atasema "yoooh" Tobi aingie... Maria atashtuka sana asimame ampee hug motoooo....
Kanini atauliza William mbona mtoto wake ako hivyo na aliacha William akimshow atakuwa sawa...
William atamwambia anajua vile alimwambia ila akumbuke hayo yalikuwa maneno ya daktari... Kanini atamuuliza k**a yalikuwa maneno ya daktari mbona hali yake inazidi kuwa mbaya sana... anataka improvement.. William atamwambia anamwelewa ila atulie.
Kanini atasema K**a William angekuwa anamwelewa sahi Sofia angekuwa sawa... atajitoa kwa hiyo room... William atafwata....
Sofia atapiga simu aambiwe ile number ni ya Tonny (Trevor).
Maggie ataambia Rufina heri akose pesa kuliko afanye vitu zitamfanya ajute badae. Rufina atamwambia ndo maana anampenda... atamwambia aangalie Maria... atasema ye hataki hizo tabia mbaya mbaya...na hakuna dhambi kubwa K**a kulala na Bwana ya mtu... atasema siku hizi Maria amekuwa msherati sana...
Maggie atamwambia ye amejionea but anampa ahadi kuwa atangoja hadi siku yake ya ndoa ju hadai kukosa baraka... Rufina atamwambia akue na subira hivyo Hadi time yake ifike.
Maggie atamuuliza k**a alibonga na Silas kuhusu hiyo Mambo... Rufina atasema alimwambia but wamekua na shida mob na kugombana kila saa so akirudi atamchapia tena.
Mama chapo na Kobi wataona Silas but Kobi hadai story zake. Silas atawagotea then Mama chapo atasema amesahau kitu kwa hivyo wabonge anarudi.
Silas ataambia Kobi anajua amemjamia but ajue mambo hayako vile anafikiria... atajaribu kumwambia alichagua Maggie but si ati ako ithaa yake... before aendelee Tobi na kina Maria watatokea side ingine... Tobi na Kobi watameet tena after a long time...............to be continued.....
Tutegee ya Wednesday.
Share.

10/05/2020

COVID-19 UPDATE by Dr. Rashid Aman, CAS Health.

✔️1,611 samples tested today
✔️31,041 total samples tested so far
✔️28 new positive cases today
✔️Total confirmed cases stand at 649
✔️5 recoveries today
✔️Total recovered stands at 207
✔️ 1 fatalities today
✔️Total fatalities are 30

Address

Kisumu
Nairobi

Telephone

+254740597326

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LAVIE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share