03/06/2026
๐จPSA Kwa Jeshi yote๐ช
๐ฃ Oya gang, msikose hii update!
K**a *770 # ilikuwa shortcut yako ya kila siku, kuna ka-change kadogo unafaa kujua. Kuanzia sasa, USSD yetu mpya ni *779 #. ๐ฅ
Hakuna changes kwa experience yakoโni code tu imepata upgrade. So next time ukitaka kuingia kwa action, usichape *770 # tena. Chapa *779 # na uendelee kusonga bila interruptions. ๐ฑ๐
Ji-savee stress, hifadhi *779 # kwa kichwa mapema na uwashow mabeshte pia. New code, same vibes, same action! ๐
Kumbuka hii haitaki data, airtime, ama bundles......dial *779 na mambo itakuwa Ital.
chezacheza NoAirTime chezachezasikuzombo