02/10/2025
Jirani alikuja om masaa ya lunch🍛kisha akaketi chakula wakati ilikuwa karibu kuwa ready akadai anataka kuondoka mara akazaa kuxema nkosawa mara najiarakisha 🏃♂️wapi mama yng juu anakuwanga mtu royal🙏 akamwabia usiache chakula ata k**a utafanya kuoja 🤣wap kumbe jirani alikuwa amelenga apo 🤦♂️akaketi gess wht happens weee alichangamkia icho kyakula kisha akarelax badaae mama akamliza🤔 kwan umesahau ulikokuwa unaenda 🤣🤣🤣🤣follow my page plz for more stories k**a ushawai kuona jirani wa aina ii prove me nko right or wrong 🤝❤❤❤