Vin Tariq

Call Website Contact the business

Vin Tariq "Warning: High dose of humor ahead. Side effects include laughing uncontrollably.
(2)

🔥THE TENANT 🔥SEASON 01🔥EPISODE 8Clara : Na vile wameiva babe uko sure you'll maintain.. wewe nakujua 😫💔 Me : Babe niko n...
18/09/2026

🔥THE TENANT 🔥

SEASON 01🔥

EPISODE 8

Clara : Na vile wameiva babe uko sure you'll maintain.. wewe nakujua 😫💔
Me : Babe niko na lanes pia.. i have principles alaa
Clara : Okay... 🥺
Me : Okay baby

Nikaingia kwa gate. Hakuna mse alikua nje nikabambika😂. Kufika kwa stairs mbele yangu kuna manzi anapanda stairs na ile matako amebeba hata nikaishiwa na nguvu😂. Haga very smooth zina jiggle design ingine illegal nikizigrab namna hii anaitana🍑😋. Akapudenka akanipata nimezubalia kiuno yake nikaangalia kando. Akapanda akafika kwa mlango yangu akaanua ile panty 💔. Kumbe ni huyu alikua ameniaka😂💔. Nikafika nikaingia kwa hao

Mse akagonga mlango. Kufungua ni Tamara

Tamara : Sasa Vin
Me : Poa sana
Tamara : i think sahi imekauka si ukuje unianulie
Me : Okay

Nikatoka tukafika kwa balcony nikaanua bedsheet. Na hapa sijaona manzi amechoka. Wote wameiva mbaya sana😂😋

Tamara : thank you so much.. hii ufupi ni mbaya😂
Me : Uko tu sawa your height is average
Tamara : Okay😂

Tukiwa hapo sasa nataka kuenda nikaona kuna manzi amesimama mbele ya mlnago yangu ni k**a ananitegea💔. Hii ploti iko na manbo gani💔. Nikafika

"Hey mambo😊"
Me : Poa sana
"Aki si nikusumbie kidogo.. my bulb ilichomeka so nimebuy ingine na sifiki huko juu kwa ceiling si ukuje uniwekee kindly"
Me : Poa

Tukatoka tukapanda second floor. Tukaingia kwake. Nikafix bulb

"Wow thank you so much"
Me : Poa

Nikatoka nikarudi kejani. Mabadae pale majioni manzi akarudi
TO BE CONTINUED

🔥THE TENANT 🔥SEASON 01🔥EPISODE 7Nikafika nikamuanikia vizuri "Thanks😊.. na hausalimiangi watu😂" Me : Mbona"Like umenipit...
17/09/2026

🔥THE TENANT 🔥

SEASON 01🔥

EPISODE 7

Nikafika nikamuanikia vizuri

"Thanks😊.. na hausalimiangi watu😂"
Me : Mbona
"Like umenipita pale nikifua without saying anything"
Me : Ooh ni k**a akili ilikua mbali😂
"I'm Tamara by the way"
Me : I'm Vin
Tamara : Cool

Nikapigwa na kajua pale nikatoka nikaingia kwa hao. I work from home so bora laptop iko na WiFi then I'm good to go😂. So nikataka nitoke niishie tao nibuy food. Nikaskia wakiongea tena

"Hapana ilikua kwa nyumba ya huyu boy mgeni.. huyu amehamia hapa juzi"
"Whaat?.. kumbe alikua yeye"
"Yeah i think manzi alikua anamoan ni ule walitoka na yeye akimtoa kwa gate.. wewe uliskia the way she was moaning?.. mimi hata imekua kitambo nikiskia dem akimoan i was turned on hata sijalala usiku yote"
"Heri wewe.. mimi hata I can't remember the last time nilimoan😂💔.. aki the girl was moaning in a way hata usingizi ikapotea😂.. huyu kijana atatuletea temptations kwa hizi ploti wengine naona tukinunua d***o na vibrator😂💔"
" Aii Shantel😂💔"
" Na boy mwenyewe amenyamaza hata haongei na watu"
" Obvious ukienda mahali as a new person huezi kua kiherehere.. unaweza pata hata ako talkative "
" Natamani kuskia sauti yake to be honest guys si kwa ubaya 😂💔"
" Usherati inakuita😂💔"
" But sasa ni boy ako na manzi.. si uliona..na ni nani ameanika hio panty hapo?😂..aki si mko na uchokozi😂"
" Ni Clare k**a siko wrong😂💔..na hio matako yake yote hio panty haiwezi kosa kua yake ju first floor she's the only thick lady there😂"

Nikafungua mlango. Nikafika tao nikabuy food nikaanza kurudi. Yani nilikua nakumbuka hawa madem naogopa kuingia hata kwa gate ju all eyes on me. Phone ikaring

Me : Babe
Clara : Vin.. mi naona you need to tell those ladies wakue na heshima.. you need boundaries.. I'm a woman and i know ladies.. wanakujaribu waone if you are a tough guy or a smooth one.. na usipokua keen watakuchezea ushangae.. they'll disrespect you na mimi staki hivo.. we have built this relationship we have invested in it for several years 🥺
Me ; Babe, stop overthinking hawa madem wasikupee pressure
TO BE CONTINUED

🔥THE TENANT 🔥SEASON 01🔥EPISODE 6Tukatoka. Ilikua 8am. Kuangalia pale mbele ya mlango suruari flani biggy imeanikwa mbele...
17/09/2026

🔥THE TENANT 🔥

SEASON 01🔥
EPISODE 6

Tukatoka. Ilikua 8am. Kuangalia pale mbele ya mlango suruari flani biggy imeanikwa mbele ya keja yangu kwa hanging line

Clara : Aaah aah🤔..babe?
Me : Yea
Clara : Hii suruari haijakua hapa nani ameiweka?
Me : Sijui unajua hizi ni rentals
Clara : aki i swear this was intentional💔..wueh

Hio panty nayo niliheshimia💔. Panty imejaa mlango naifunua k**a curtain ndo tupite💔🍑. Tukatoka sasa tukafika ground floor

Clara : Waah waah waah Vin. hawa wote ni madem?.. ulitafuta nyumba wapi wewe🤔... Eeii?.. kwani hizi ni hostels ama
Me : Zii ni rentals tu wewe usikue insecure
Clara : Wueh ona tu vile wananiagalia na matharau
Me : Stop overthinking

Tukatoka so nikamfikisha nje ya gate akaishia. Nikapita direct hadi kwa landlady

Me : Mum maji haiko kwa nyumba. Kwa loo na bathroom hakuna maji
Landlady : Ooh pole hata nilisahau kuswitch on.. i control water flow from my house kwa kila nyumba
Me : Okay..

Akafungua settings flani pale ya maji aka switch on maji kwa hao yangu

Me : Thanks

Nikatoka nifike kwa hao. Nikapata group flani ya madem pale kwa kona

"Hehee jana usiku ni mimi nilikua naskia vibaya ama mtu alikua anakulwa mahali😂"
"Wow that girl was feeling nice i swear.. she was moaning yani alikua anamoan kumoan mimi hata usingizi ilipotea 😂"

Niliangali chini k**a nimeenda haraka kwa hao 😂💔. Hapa sioni nikitoboa walahi😂💔. Nikatoka nikafika kwa balcony niangalie hio area vile inakaa ju mi ni mgeni huku

Manzi flani akafika pale akaanza kuanika nguo. Akaanza kuinua aanike bedsheet kwa hanging line ingine hapo but ni k**a alikua hafikii

"Sasaa.. aki unaweza kam unisaidie kunianikia hii sifikii na kamba zote zimejaa"
Me : Poa..

TO BE CONTINUED

🔥THE TENANT 🔥SEASON 01🔥EPISODE 5Sikutaka ajue hii place I'm the only dude angeleta kelele😂💔. Tukadishi pale. Usiku nilif...
16/09/2026

🔥THE TENANT 🔥

SEASON 01🔥

EPISODE 5
Sikutaka ajue hii place I'm the only dude angeleta kelele😂💔. Tukadishi pale. Usiku nilifungua kichuma Clara alikua anamoan ploti mzima😂🍆🍑. Chuma nilikua naileta design flani illegal anaitana keja mzima😂💔. Ikabidi sasa nimfunge mdomo ju design nilikua nakunja chuma si ya kuvumilia😂
Tukiwa pale natembeza kichuma mlango ikabishwa💔. Alaa nani huyu ananaitoa kwa mzuka bana💔

Clara : Were you expecting someone?
Me : Zii hata nashangaa ni nani

Tukaamka. Nikafungua. Kuangalia ni ule manzi alinipea key

"Sasa, nimekujia key"
Me : Ooh sorry hata nilisahau

Nikamjenga key

Me : Thanks
"You're welcome😊.. goodnight"
Me : Goodnight 😊

Akatoka akaishia

Clary : Who is that?
Me : Ni manzi alinipea key ya bathroom
Clara : Aii?.. key anakujia sasita ya usiku? 🤔
Me : Maybe anadai kupiga shower
Clara : Vin, kindly kua na boundaries.. mimi niko sure huezi kubali my male neighbour abishe midnight ati anataka kifunguu
Me : Babe wacha hasira kuja tuendelee na shuguli zetu
Clara : Vin you are not fkkking me 🥺
Me : Then nitanyonga ukiangalia💔

Nilikunja Ciara pala alikua anamoan na sauti ni ka mse anafanyiwa surgery😹🍆🍑. Pale morning nikamuamkia kichuma ploti mzima ikaongea💔.

Clara : Babe so wacha nitoke mapema ju inafaa nifike job
Me : Poa
Clara : Si unitoe hata unifikishe kwa gate
Me : Najua

🔥THE TENANT 🔥SEASON 01🔥EPISODE 4"Mimi nimeshangaa unajua i thought maybe ni fundi ameletwa repair kidogo naona pick-up i...
16/09/2026

🔥THE TENANT 🔥

SEASON 01🔥

EPISODE 4

"Mimi nimeshangaa unajua i thought maybe ni fundi ameletwa repair kidogo naona pick-up imeleta vitu😂💔..huyu lazima ni relative wake ndo maana amefanyiwa favour..wanaume hapa landlady hawezi kubali"
"Sasa si basi waweke tu pia maboy wakue wanakaa hapa officially.. huyu landlady wenu atakuja nimaliza😂.. she's so funny"
"Wewe umeona kwa hio towel vile vitu zimejaa na kufura huko ndani?"
"Vitu gani?"
"Huyo boy hapo mbele kwa towel haujaona vile amebarikiwa? 😂"
"Kubarikiwa? 😂.. aje sielewi"
"K**a haulewei wachana nayo"
"Nyinyi hamuelewi kitu Tamara anasema mimi nimeelewa.. anasema hamjaona vile huyo boy amebebea manini pale ndani ya towel😂🤭...amebarikiwa na fimbo🍆"
"Tabia mbaya😂💔"

Maze niliskia hio conversation kisubmarine adi nikaogopa kutoka kwa bathroom😂💔. Kumbe wamechunguza wakaona design mkuu nimebeba kichuma kilo mia mbili hamsini😂💔. Nik**ada kupiga shower. Nje kulikua kumenyamaza nikajua wameingia kwa hao.

Kufungua tu hivi bathroom ilibidi nirudi ndani💔. Madem wote wako nje wamenitegea mbaya sana💔. Nikagain courage pale nikatoka. Kutoka hapo hadi kwa hao ilikua inafeel like kutembea from Afya centre to kayole junction 😂💔. Hata sikutaka kuwaaangalia kwa uso💔. Nikaingia kwa hao.

Mabadae nikatoka nikaendea manzi yangu so tukarudi kitu 8pm pale tukaingia kwa hao

Clara : wow babe i love this place
Me : One of the best hapa hadi sioni nikihama😂
Clara : Mbona uhame sasa😂..

Tukaanza kupika food pale

Clara : Babe na hio loo yako mbona maji hakuna
Me : Ooh nilisahau.. I'll talk to the landlady kesho.. unaweza enda za nje shika key..

Manzi akatoka akaishia loo za nje. Akarudi

Clara : Babe na ni kuulize aje?
Me : Yes
Clara : Hii ploti mbona iko na madem wengi hivi?
Me : Si ni tenants tu k**a mimi
Clara : Aii?.. i have seen like 100 girls huko nje
Me : Kwani kuna shida ama😂
Clara : Aii babe hao madem wote🙁..
Me : Sasa unathani nawataka ama?
Clara : Not really but eiii.. they need to mix bana

TO BE CONTINUED

🔥THE TENANT 🔥SEASON 01🔥EPISODE 2 🔥 Manzi alinyamaza k**a one minute akaniangalia na mshangao toka juu hadi chini💔. Nikas...
15/09/2026

🔥THE TENANT 🔥

SEASON 01🔥

EPISODE 2 🔥
Manzi alinyamaza k**a one minute akaniangalia na mshangao toka juu hadi chini💔. Nikashindwa kwani ni makosa mse kusaka hao ama?

Me : What?
"Enda na hii corridor utokee nyuma landlady ako huko"
Me : Thanks

Nilikua napita kati kati ya madem hapo maze uoga na aibu inaniingia jooh all eyes on me😂💔. Kufika huko nyuma kuna gorofa flani kumbe ni k**a landlady anakaa huku. Nikaknock kwa mlango nikaingia

Me : Hello
Landlady : Hapa nilikataza hawkers hata kwa gate si umeona?.. I'm not buying your products get out.. not today si kwa ubaya kijana najua uko kazi but hapa nilikata hawkers💔😡
Me : Mimi si hawker
Landlady : And who are you?
Me : Nimepita nikaona you have very beautiful houses nikasema nikuje nione k**a kuna vacant
Landlady : You are in the wrong place.. hapa kwangu ni wananwake peke yake wanaruhisiwa kukaa si wanaume
Me : Waah🤔
Landlady : Pahali wanaume wako lazima walete visirani na vita so nikasema my rentals nitakua narent ladies only, exclusively no men.. hata ukipita huko mbele utaona hakuna vinyasa ama malongi za wanaume ni wanawake wako huko.. I'm sorry hakuna nyumba
Me : Okay. Thanks

Nikatoka. Sasa hii mambo ya nyumba wacha ikae. Nilishikwa na hasira kulikua na paka yake hapo mbele nikaichimba teke ikagonga ukuta💔

"Kijana, hebu"

Hapa itakua aje.. mbona ananiita tena? Ama ameniona kisubmarine nikilisha paka yake kiatu?. Nikarudi

Me : Yes
Landlady : Are you a good man?..
Me : Good man aje
Landlady : Unaonekana kijana wa tabia mzuri lakini I can't tell kwa maana sikuji I'm a mother and i can see you look like a disciplined guy
Me : Mathe mimi ni mse mfiti sana.. trust me
Landlady : Do you have a wife?
TO BE CONTINUED

🔥THE TENANT 🔥SEASON 01🔥EPISODE 01Nilikua nimetembea tao mzima house hunting hadi nimechoka. Kila place unaenda unaambiwa...
15/09/2026

🔥THE TENANT 🔥

SEASON 01🔥

EPISODE 01

Nilikua nimetembea tao mzima house hunting hadi nimechoka. Kila place unaenda unaambiwa hakuna keja vacant zote zimejaa💔. Caretaker mjinga naye anakushow umlipe 2k so that mse akihama akucall😂💔. Hakuna kitu hukua tiresome ka kusaka hao walahi 😂💔. Unazungukaga unapigwa na vumbi adi unataii. So nikacheki kuna makeja flani hapo zinakaa fiti zikanibamba. Ilikua gated community. Nikafika. Wacha kwanza nicheki soldier na laptop 😂💔 hapa nikajua I'm in the wrong place

Me : Niaje mkubwa
"How may i help you young man"

Soldier kwanza anabonga English of the nose nikajua nimepotea njia😂💔

Me : Naweza pata vacant?
Soldier : Yeah we have vacant houses, two bedroom. There's a swimming pool, 24/hrs WiFi and reserved parking

Mimi mwenyewe natembea miguu mbili napack gari gani?

Soldier : Rent ni 70k per month. Additional you'll be paying 40k service fee kila mwezi

Niliskia hivo hata sikusimama. Niliendelea na safari

Soldier : hello?.. kijana?.. we kijana unaenda? 🤔

Sikuangalia nyuma. Nilipotea nikipotea kabisa. Kisubmarine nikagive up nikasema wacha nirudi kwa hao nitajaribu siku ingine💔. Nikaingia route flani nikacheki kuna makeja flani spacious zinakaa fiti maze nikasema wacha niulizie nijaribu bahati nikishiaga kwa hao. Nikafika kwa gate. Kuangalia hakuna soldier nikaingia. Kwanza kuangalia perimeter wall iko sawa nikajua hapa security iko fiti sitaibiwa, another thing kuna maji hakuna kubuy maji. Wifi iko nikajua baas hapa wacha nijaribu bahati.

Kugonga tu mlango ya kwanza hivu milango zote zikafunguliwa💔. Madem flani wakajaa nje. Alaa kwani nimekuja hostel ama nini

Me : Sasa
"Poa sana"
Me : Naweza bonga na landlord wa hapa ama anyone? Caretaker?
"It's a landlady. Unataka aje?"
Me : Natafuta nyumba

TO BE CONTINUED

Address

Nakuru

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vin Tariq posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Vin Tariq:

Shortcuts

Share