20/08/2021
ZORA WRITTEN UPDATES
Friday on Zora
Kumbuka ku like before usome 🙏🙏🙏
Neema atakuwa akimcheka Ogola. Anamuuliza swali, kati ya kifaranga na yai, ni kipi huja cha kwanza...? Ogola ataambia Neema aende aulize waluhya hilo swali. Neema atadai alisema Oliver ndiye Master Ogola akampinga, sasa young dosi ako wapi sahi..? Ogola ataambia Neema aende apige mushene na vyombo jikoni, since Neema akanyage huku vitu vinaharibika. Neema atadai umbea wa Ogola ndo umemfikisha pale. Neema alijaribu kumzuia asiende kwa ile nyumba but hakusikia. Ogola atadai Madiba anamsaliti na vile wametoka far pamoja. Neema ataambia Ogola ajue kucheza na level yake. Ogola atamuuliza Neema if amewahi fall in love..? K**a hajawai then siku atajaribu ndo atajua love has no boundaries. Neema ataambia Ogola mapenzi ni sumu. Atamuuliza k**a alichokifanya pale jana yu wadhania ni ungwana. Kidogo Madiba ndo kurudi. Atapiga honi ya gari na Ogola atafungua. After Madiba kuingia ndani Ogola atadai anaona akirudi kwao bila kitu, hana hata fare na wanamfukuza. Hajui aanzie wapi lakini ni sawa. Ogola ataingia kwa Chumba chake kwenda kujipanga.
Madiba atampata Zalena amekaa living room. Madiba ataambia Zalena k**a angekuwa anam protect vile yeye, watoto wake na Kwame then watoi hawangekuwa traumatized vile wako sahi. Madiba ataenda upstairs.
Loretta akiwa anajirembesha, tutamsikia Oliver akilia tu jina Nana. Loretta atamwambia akichelewa atapata mwana si wake. Loretta ataambia Oliver game yake iko down sana. Loretta anajua Oliver anamtaka Nana, na after Oliver kumwona Nana amevaa nguo zake alicatch mbaya sana. Na hakuna kitu Oliver anaweza fanya. Loretta ataambia Oliver yeye anajua mengi kuhusu hii nyumba, k**a ile ya kuna mtu mmoja kwa hii familia who's not a true Chibale. Oliver atashtuka, alikuwa anaondoka but atarudi hadi place Loretta yuko. Loretta atasema ni ukweli, Oliver amechukua Zalena na kumweka k**a funguo yake. Zalena alifanya Oliver akamuacha babake hadi akafa, Zalena alichukua kila kitu chao but Oliver anaamua ku stick tu naye. Kwani ni kitu gani cha maana Zalena ako nacho yet kuna samaki wengi wa kuvuliwa 😂
Oliver atamkuta Zalena direct na kumwambia anaona wakati umewadia wa Loretta kutoka kwa hii nyumba, lakini kwanza ni poa wampe share yake. Zalena atadai whatever Oliver is planning will not work, Zalena ataambia Oliver aache kujidanganya. Oliver atadai Loretta lazima apate share yake, kwanza akiwa kwa hii nyumba. Hakuna vile Zalena hatamtupa Loretta kule nje tu hivi hivi. Lazima apate uridhi wake wa haki. Loretta atauliza haki gani. Oliver atadai ya title deeds, Oliver atasema si hiyo peke yake, lazima ndugu zake wapate share yao. Oliver ataambia Zalena ampe title deeds but Zalena atamwambia asimsumbue. Zalena anaona Oliver amekosa kazi kabisa.
Hamida amekaa pale nje anakaa confused. Kidogo Zora atampata pale. atamuuliza nini mbaya..? Hamida atadai ni wazazi wa Fadhili wanampigia simu wakimwambia akae mbali na mtoto wao. Zora atamwambia maybe yeye ndo amejichomea. Hamida atauliza aje sasa. Zora atamuuliza k**a kando na yeye, huko nyumbani iko mtu Hamida huwa anazungumza naye kuhusu Fadhili...? Zora ataambia Hamida hapo ndo anakosea sasa. Fadhili mwenyewe alinyamaza na akaamua kumkol kumwambia anampenda, so pia Hamida angekimya tu. Hamida atakaa aone huyu ni Neema ako behind this. Na juu ya hii story Neema ataishi kumkumbuka.
Oliver atakuwa anaangalia gari lake. Kidogo Nana atamletea zile pesa zake akimwambia hazitaki, na Oliver na Nana hiwezi make, na Oliver akizidi kumtafuta Nana vile anamtafuta vile itabidi familia yake ijue hiyo story. Nana ako na evidence yote. Neema alikuwa pale kando amesikia kila kitu.
Hamida naye amejam. Atachukua phone kumkol Fadhili. Atamuuliza yani aliona aje kumletea tu mashida kwa life yake..? Hamida ataambia Fadhili yeye abaki tu na life yake na amwache na mashida zake. Hamida hawezi vumilia matusi ya wazazi wa Fadhili. After kol Hamida atadai hata Master atamtambua sasa 😂😂😂 hasira kwa mtu mwingine. Aki wanawake nyinyi 😂😂😂
Master atakuwa akicheza na mtoi wake pale kwa job. Hamida atakuja mbio, kuwaona atajificha then ataanza imagination. Anajiona akicheza na Master pamoja na P**i. Hamida atajificha pale kando. Master atamuona. Pia P**i amemuona. Hamida atarudi kwenye ametoka 😂 P**i ataambia Master yeye anaona Hamida alitaka kubonga naye, so next time P**i atajipa shughli ndo asizuie hii kutake place.
Loretta atampata Nana. Atamwambia definition yake ya mtu mjinga ni yule ambaye hasomi kutoka kwa mistakes za wengine. Loretta ataambia Nana k**a target yake ilikuwa Kwame, Loretta angempa advice ajikaze kabisa. But since hamu yake iko kwa Madiba then ajue anapoteza time tu. Loretta atajitoa.
Hamida alirudi home, Master alimfwata na atakuwa anamuita kutoka nyuma. Master alikuwa anataka nyanya kutoka kwa Hamida. Wakitaka kutoka yule ex wa Master atafika hapo kuharibu sasa. Hamida ataanza kuuliza Master huyo ni nani. Huyu dem ataambia Hamida yeye ndiye mama yao. Na hakuna vile Master ataenda kwa mtu mwingine akiwa hai. Master ataambia huyu dem atembeze lakini kitaki. Hamida atawaambia wabebane waende Mbali huko wagombanie huko. Yeye hataki kuonekana mbaya. Fidi, mamake P**i atakuwa mkali lakini Master atamtoa hapo. Master pia ataboeka ajitoe amwache Hamida akiwa peke yake.
Lila na Fila wataenda kwa baba yao kumwambia teacher Nana hajafika, kwani hafeel poa au nini...? Madiba atakol Nana kumuuliza k**a bado amelala. Nana atasema bado analala. Madiba ataambia Nana Lila na Fila wanamtegea. Nana atasema haingii huko leo, amechoka na familia ya Madiba. Madiba atamwambia please but Nana atasema enough is enough. Madiba atamwambia basi anaenda huko. After kol Nana atafurahi. Mpango wake umeivana.
To be continued
After umesoma usikose ku like
Like my page for early updates 💪💪💪
https://www.facebook.com/BigmanDigital
Share after reading
its a store to all quality and affordable products. we deliver the best and exactly what our client orders