30/04/2022
Super gro Ni bidhaa ya asili ya Kilimo ambayo inazalishwa na inatumika katika mazao mbalimbali K**a maharage,mahindi,mpunga,karanga,mtama,alizeti,mbaazi,kunde,bustani za mboga na maua.
Bidhaa hii ya supergro IPO katika hali ya kimiminika K**a Maji na inapatikana katika ujazo wa robo Lita, ml 200 na Lita 5.
👉FAIDA za supergro.
✍️Hulinda rutuba ya udongo kwa kuwa Haina kemikali sumu K**a mbolea nyingine ambazo huweza kuongeza kiwango Cha tindikali katika udongo,hivyo ardhi haichoki mapema.
✍️Hulainisha udongo na kufanya Maji yaweze kupenya kwa urahisi katika udongo.
✍️Hutunza unyevuunyevu na hatimaye mizizi huzama hadi tabaka la tatu ambako kuna virutubisho vingi vya asili.Hali hii huondoa gharama za kumwagilia mazao Mara kwa mara hasa nyakati za kiangazi Ambapo Maji ni ya shida mmno katika maeneo mbalimbali.
Pambana na ukame kwa kutumia supergro.
✍️Husaidia Dawa za kuua wadudu zisitirike chini kwa sababu supergro ni k**a gundi hivyo hunata kwenye majani.
✍️Hufanya mimea kuwa na rangi ya kijani wakati wote kumaanisha mmea unapata virutubisho vya kutosha,maji pamoja na hewa ya kutosha.Hali hii huupa mmea nguvu na kuhimili magonjwa na kusababisha mmea kuzalisha mazao mengi.
Matumizi
Cc 1 kwa Lita 1 ya Maji
Cc 10 kwa Lita 10 ya Maji
Pulizia supergro kwenye shina la mmea na kwenye Jani kwa kutumia bomba.
MASIKA.
Wakati wa Masika puliza supergro Kila baada ya siku 14.
KIANGAZI.
Wakati wa kiangazi piliza kila baada ya siku 7 maana kuna kuwa na ukame.
JINSI YA KUTUMIA KWENYE MATUNDA.
Mkulima anashauriwa kumwagilia Lita 2 za majinna cc2 za supergro zilizochanganywa pamoja kwenye shina bila kutumia bomba kwa sababu miti ya matunda Ina mizizi mikubwa mno tofauti na mazao ya muda mfupi na unashauriwa kutumia wakati wa mvua kwa matokeo mazuri.
Karibu Kupata yako,nitafute kwa namba 0765037032