18/06/2014
Sikiliza Bunge LIVE!
June, 18. 2014
Mjadala: BAJETI KUU YA SEREKALI:
Bajeti Kuu ya Serekali itasomwa leo Saa 10 jioni Mjini Dodoma na itatanguliwa na Maswali na Majibu kwa Waziri Mkuu leo Saa 3 asubuhi.
WAGENI MAALUM: Mabalozi na wawakilishi wa Mashirika mbalimbali ya Kimataifa yanayowakilisha Nchi zao katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Karibu kusikiliza Bunge moja kwa moja kutoka Dodoma kwa hisani ya TBC,
VISIT: www.arushamambofmradio.co.tz
K**A UNATUMIA SMART PHONE, iPAD AU Tablet (s)
Download "tunein" software from Play Store or "Google Play" and search for "Arusha Mambo"
Contact us/Wasiliana nasi kwa kupitia:
[email protected]
Kwa maelezo zaidi.