Sun King

Call Website

Sun King Sun King designs, distributes, installs, and finances solar energy solutions.

16/10/2026

Ofisi hii si mahali pa kazi tu,bali ni watu wanaoifanya iwe ya kipekee.❤️

Nyuma ya kila mafanikio tunayoshinda na kila hatua tunayopiga kuna timu inayoshirikiana,kusaidiana na kujituma kila siku.

Kwa kila mmoja anayechangia kwa ujuzi,nguvu na moyo Asante kwa kuwa sehemu ya Timu hii ya kipekee.

Heri ya siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa.Leo tunakumbuka mchango wa Baba wa Taifa katika kujenga umoja,mshikamano na T...
14/10/2026

Heri ya siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa.

Leo tunakumbuka mchango wa Baba wa Taifa katika kujenga umoja,mshikamano na Tanzania tunayoijua leo.

HomePlus Max inahakikisha hakuna kinachosimama nyumbani,na kila mwanafamilia anaweza kuendelea na shughuli zake,iwe ni m...
12/10/2026

HomePlus Max inahakikisha hakuna kinachosimama nyumbani,na kila mwanafamilia anaweza kuendelea na shughuli zake,iwe ni mama kuandaa chakula,Baba kufatilia taarifa za muhimu,na hata mtoto kuendelea na kazi za shule.

Tutumie ujumbe sasa uweze kujipatia yako.

Tabasamu,Furaha na kumbu kumbu za Furaha.Wiki hii ya huduma kwa wateja imekuwa ni ya Furaha,na kutengeneza kumbukumbu za...
09/10/2026

Tabasamu,Furaha na kumbu kumbu za Furaha.
Wiki hii ya huduma kwa wateja imekuwa ni ya Furaha,na kutengeneza kumbukumbu za pamoja.

09/10/2026

Na hivi ndivyo tunavyozidi kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja.
Wiki ya huduma kwa wateja inakaribia kuisha lakini tunaahidi kuendelea kufanya zaidi ya matarajio katika kuhudumia wateja wetu kila siku.

05/10/2026

Oktoba ni mwezi wa wiki ya huduma kwa wateja.
Na mwaka huu tunakwenda hatua zaidi,ni kuhusu kufanya zaidi,kuvuka matarajio na kuhakikisha kila mawasiliano na mteja yanaacha alama.

Kwasababu huduma nzuri sio tu kile tunachokifanya bali pia ni kuhusu juhudi za ziada tunazoweka kila siku.

Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.




Oktoba hii,usikubali kukatika kwa umeme kukuzuie kuendelea na shughuli zako.HomePlus ni moja ya vitu vya uhakika vya kuw...
02/10/2026

Oktoba hii,usikubali kukatika kwa umeme kukuzuie kuendelea na shughuli zako.

HomePlus ni moja ya vitu vya uhakika vya kuwa navyo mwezi huu.
Pata mwanga na endelea na shughuli zako hata umeme unapokatika,na uzuri zaidi ni kwamba unaweza kuipata kwa malipo ya kidogo kidogo.
Usikose yako mwezi huu.

Umeme unapokatika,maisha hayapaswi kusimama.Kuanzia taa,kuchaji simu,hadi burudani za nyumbani,HomePlus Max inakupa nguv...
28/09/2026

Umeme unapokatika,maisha hayapaswi kusimama.
Kuanzia taa,kuchaji simu,hadi burudani za nyumbani,HomePlus Max inakupa nguvu ya kuendelea na mambo yako.

Tutumie ujumbe sasa kuweza kujipatia yako,na unaweza kulipia kidogo kidogo.

25/09/2026

Linapokuja suala la huduma bora unajua kabisa kuwa tunakupatia na bidhaa bora zaidi bila kuwa na wasi wasi,HomePlus Max itakufanya uweze kupata mwanga,kuangalia Tv,kuchaji vifaa vyako vya umeme na unaweza ukalipia kidogo kidogo.

Tutumie ujumbe sasa tuweze kukuhudumia.

Pata Mwanga 🌝Chaji simu yakoPata redio na Bluetooth vyote kwa pamoja.Iwe ni wakati wa kupumzika,kusikiliza muziki au wak...
23/09/2026

Pata Mwanga 🌝
Chaji simu yako
Pata redio na Bluetooth vyote kwa pamoja.

Iwe ni wakati wa kupumzika,kusikiliza muziki au wakati umeme umekatika,hii sio ya kukosa.

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 07:00 - 23:00
Tuesday 07:00 - 23:00
Wednesday 07:00 - 23:00
Thursday 07:00 - 23:00
Friday 07:00 - 23:00
Saturday 09:00 - 21:00
Sunday 09:00 - 21:00

Telephone

+255800751023

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sun King posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share