13/12/2024
Wakuu mnaendeleaje na Ufugaji wa kuku na mifugo mingine.
Kalibu sana kwa Chanel yangu ya YouTube jifunze na Kuongeza maalifa na ujuzi na ustadi katika suala Zima la Ufugaji wa kuku na kilimo cha mboga za majani kwa ajili ya kuku wako na Lishe yako binafsi k**a mfugaji anae tengeneza mnyororo wa dhamani.
Link ya Channel yangu ni hii ๐๐https://youtube.com/?si=AO9TNJLVzE8DXqOh Ili kuweza kupata mafunzo na masomo yangu Subscribe kwq Chanel yangu, tazama vidio nzima moja kwa moja na Bonyeza alama ya kengele na chagua all hapo utakua unapata vidio kila siku za mafunzo ya Ufugaji wa kuku Aina zote na kilimo cha mboga mboga.
Ubalikiwe kwa mchango wako hakika Utanufaika sana.
Pia nauza Softcopy ya kitabu changu cha kilimo cha mboga za majani kibiashara hiki kitabu ni Mkombozi kwa Wakulima.
Utajifunza namna ya kulima.
Mchicha.
Spinachi.
Sukuma wiki.
Chinise. Pia kabeji.
Kila zao la mboga za majani utajifunza
Namna ya kuandaa shamba lako.
Namna ya kuandaa kitalu cha mboga za majani.
Masoko.
Mbegu.
Changamoto na namna ya kuzitatua changamoto kwa kila zao.
Namna ya kupanda mboga za majani na Nafasi Kati ya shimo na shimo pamoja na Mstari na Mstari.
Softcopy ya kitabu changu ni 12k yani Elfu 12 za Kitanzania utanufaika sana na hutojuta kununua kitabu changu kalibu sana Mjasiliamali pia Muwekezaji kwenye kilimo.
Namba yangu ya simu ni https://wa.me/+255742543491 Jina Jeremia Lutalala.
Ukilipia ndani ya dakika moja njoo inbox nikutumie E-book ya kitabu cha kilimo cha mboga za majani kibiashara.
Asante kwa ushirikiano wako Mungu akubariki sana ๐.