Online Clinic-MAMA KIJA

Online Clinic-MAMA KIJA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Online Clinic-MAMA KIJA, Business service, Bunju.

31/05/2026
31/05/2026

Mwanamke Fanya Haya U.T.I yako ipone

✔️Kunywa maji ya kutosha angalau lita 2 na kuendelea kwa siku
✔️Usivae chupi/bikini mbichi
✔️Usitawaze kutoka nyuma njia ya haja kubwa kwenda mbele( Mara zote tawaza kutokea mbele kwenda nyuma)
✔️Kojoa/jisafishe kwa maji baada ya s*x
✔️Usibane sana/ Usikae na mkojo mda mrefu
✔️Usideki uke, usiingize vidole wala kuweka chochote ukeni (Magadi, kemikali n.k)
✔️Achana au punguza matumizi ya vitu vyenye sukari nyingi e.g keki, soda ,juice ,energy drink n.k

Maambukizi mengi unayopata na kumeza antibiotics ni kujiua mwenyewe taratibu, kwani mengi husababishwa na SUKARI.

Wadudu wengi wanaosababisha magonjwa hutumia SUKARI KUISHI, njia rahisi na nzuri ni kuwanyima sukari ili wafe.

Na sio kUMEZA MADAWA HOVYO.

Share kwa wanawake wote wajikinge na maambukizi

Save kwa matumizi yako ya badae

Repost iwafikie wengi zaidi

28/05/2026

Address

Bunju

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Online Clinic-MAMA KIJA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share