Xale Offline POS

Xale Offline POS Daftari La Biashara kwenye Simu Yako | Record Mauzo Kidigitali Na Xale Offline POS

Ripoti zaidi ya15 ndani ya xaleoffline pos kuwezesha usimamizi wa biashara yako kuwarahisi
11/03/2026

Ripoti zaidi ya15 ndani ya xaleoffline pos kuwezesha usimamizi wa biashara yako kuwarahisi

Print RISITI kupitia app ya Xale OfflinePOS
11/03/2026

Print RISITI kupitia app ya Xale OfflinePOS

Unatunzaje madeni ya wateja wako, kupitia xale POS ni rahisi kutunza kumbukumbu za madeni na mengineyo
10/03/2026

Unatunzaje madeni ya wateja wako, kupitia xale POS ni rahisi kutunza kumbukumbu za madeni na mengineyo

Je unahitaji mfumo mzuri wa biashara yako?
10/03/2026

Je unahitaji mfumo mzuri wa biashara yako?

Je ushawahi kupanga bei ya bidhaa zako au unauza kwa kuwa furani anauza hiyo bei?!, Kupitia XALE POS utaweza kutumia zan...
07/03/2026

Je ushawahi kupanga bei ya bidhaa zako au unauza kwa kuwa furani anauza hiyo bei?!, Kupitia XALE POS utaweza kutumia zana mbali mbali kwa ajiri ya kupanga bei sahihi inayokuwezesha kupanga bei rafiki kwa wateja wako na kukupatia faida nzuri pia, hii inakuwezesha kuongeza mzunguko katika biashara yako.

Tumia XALE POS Kwa ripoti mbali mbali ili kuwa karibu na maendeleo na muenendo wa biashara yako
07/03/2026

Tumia XALE POS Kwa ripoti mbali mbali ili kuwa karibu na maendeleo na muenendo wa biashara yako

Kidaftari mkononi...rekodi za biashara ndani ya simu yako
07/03/2026

Kidaftari mkononi...rekodi za biashara ndani ya simu yako

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Xale Offline POS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share