Kilimo cha kisasa1

SUPER_GRO ni kirutubisho cha asili cha mimea ambacho hakina kemikali yoyote kwa binadamu pia ni rafiki wa mazingira. Sup...
06/12/2021

SUPER_GRO ni kirutubisho cha asili cha mimea ambacho hakina kemikali yoyote kwa binadamu pia ni rafiki wa mazingira.

Super gro imekuwa maarufu sana duniani kwa sasa kulingana na utendaji wake mashambani kwani mkulima anapoitumia katika zao lolote anauhakika wa kupata mara tatu (3) zaidi ya matarajio ya awali.Wakulima wamekuwa wakipata mazao mengi sana wanapotumia kwenye mpunga wastani wa kupata gunia 30-35 kwa eka moja.

FAIDA YA SUPER GRO
πŸ“Œ Huongeza rutuba kwenye udongo
πŸ“ŒHuleta nguvu mpya kwa mimea iliyolemaa
πŸ“Œ Huongeza uzalishaji mkubwa Sanaa wa mazao na uzito
πŸ“Œ Inapunguza maji kupotea kwenye ardhi hivyo na kufanya mmea Upate maji ya kutosha hasa wakati wa ukame
πŸ“Œ Inazuia ukungu au fangasi kwenye mimea

JINSI YA KUTUMI SUPER GRO
Kwa kawaida anza kutumia super gro kwenye mpunga wiki moja tu baada ya kupanda kwani utakuwa umeanza kuota na kushika ardhini.Pulizia super gro katika mpunga mara moja kila baada ya wiki mbili (2) pia acha kupulizia hadi mpunga utakapoanza kubeba.

KIPIMO CHA SUPER GRO
1cc moja ya super gro kwa lita moja ya maji k**a unatumia solo ya lita 15 za maji changanya na cc 15 za super gro.

Karibu utumie super gro kwa mazao ya uhakika na yenye afya pia . Kwa mawasiliano zaidi
0745493328

  ni kirutubisho cha asili cha mimea ambacho hakina kemikali yoyote kwa binadamu pia ni rafiki wa mazingira. Super gro i...
06/12/2021

ni kirutubisho cha asili cha mimea ambacho hakina kemikali yoyote kwa binadamu pia ni rafiki wa mazingira.

Super gro imekuwa maarufu sana duniani kwa sasa kulingana na utendaji wake mashambani kwani mkulima anapoitumia katika zao lolote anauhakika wa kupata mara tatu (3) zaidi ya matarajio ya awali.Wakulima wamekuwa wakipata mazao mengi sana wanapotumia kwenye mpunga wastani wa kupata gunia 30-35 kwa eka moja.

FAIDA YA SUPER GRO
πŸ“Œ Huongeza rutuba kwenye udongo
πŸ“ŒHuleta nguvu mpya kwa mimea iliyolemaa
πŸ“Œ Huongeza uzalishaji mkubwa Sanaa wa mazao na uzito
πŸ“Œ Inapunguza maji kupotea kwenye ardhi hivyo na kufanya mmea Upate maji ya kutosha hasa wakati wa ukame
πŸ“Œ Inazuia ukungu au fangasi kwenye mimea

JINSI YA KUTUMI SUPER GRO
Kwa kawaida anza kutumia super gro kwenye mpunga wiki moja tu baada ya kupanda kwani utakuwa umeanza kuota na kushika ardhini.Pulizia super gro katika mpunga mara moja kila baada ya wiki mbili (2) pia acha kupulizia hadi mpunga utakapoanza kubeba.

KIPIMO CHA SUPER GRO
1cc moja ya super gro kwa lita moja ya maji k**a unatumia solo ya lita 15 za maji changanya na cc 15 za super gro.

Karibu utumie super gro kwa mazao ya uhakika na yenye afya pia . Kwa mawasiliano zaidi
Tupigie 0745493328
Reposted from .chakisasa1

Super Gro kwenye ufuta
02/12/2021

Super Gro kwenye ufuta

02/12/2021
Tumia super Gro uvune dabodabo
02/12/2021

Tumia super Gro uvune dabodabo

Super Gro kwenye maharage
02/12/2021

Super Gro kwenye maharage

Korosho zinazotumia super Gro
25/11/2021

Korosho zinazotumia super Gro

Super Gro kwenye hoho
25/11/2021

Super Gro kwenye hoho

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimo cha kisasa1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share