Madam Trumark

Madam Trumark Event planning, Community Mobilization, Business consultancy & Insurance Agent.
(1)

13/08/2026

Tupo Kimataifa zaidi...uaminifu na uhakika thabiti.... popote ulipo tunakufikia.

TruMark Stationery & Books Trumark Bookshop & Books

11/08/2026

Review Books Time...

Vitabu vizuri vya mazoezi mkusanyiko wa maswali na majibu ya masomo.

Vitabu vinamsaidia mwanafunzi kuwa bora na kujiamini wakati wa mitihani.

Vitabu vya mazoezi
✔️Darasa la pili
✔️Darasa la nne
✔️Darasa la Saba
✔️Form two
✔️Form four
✔️Form six

Tupigie
0765 767 696
0794 46 76 96
0745 999 123

03/08/2026

This how we celebrated 1 year of success of East Africa Logistics Centre (EACLC).

Sherehe zinaendele kwa siku 10 mfulilizo hakuna kupoaaaa...

Mje mje jamani familia & marafiki... mambo ni mazuri ... vibe k**a love....

TruMark Stationery & Books Trumark Bookshop & Books

03/08/2026

Baam...Baam...

Tunawakaribisha wateja wetu, yaani nyie ndio wadau wetu, business partners wetu...

Karibuni sanaaa....



TruMark Stationery & Books Trumark Bookshop & Books

03/08/2026

Yaani hapa ni full celebrations... a Year of sucesss....

Karibuni sana Trumark Stationery & Books hapa EACLC Ubungo ilipokuwa stand ya mabasi zamani.

OFA ni nyingii.... njooni...

03/08/2026

MWAKA 1 YA EACLC – TUNAKUPA ZAWADI!

Kila unaponunua bidhaa kwenye duka letu la TruMarkStationery& Books, unapata Gift Voucher BURE yenye nafasi ya kushinda zawadi za thamani k**a:

📺 TV • 🛋️ Sofa Set • ❄️ Fridge • 🍽️ Microwave • 🥤 Blender • na zawadi nyingine nyingi!

Ni rahisi:
🛒 Nunua dukani
🧾 Pata risiti yako
🎟️ Chukua Gift Voucher yako
🏆 Subiri ushindi wako!

Usikose nafasi hii—zawadi ni BURE kabisa!

📍 Ground Floor, Duka Na. C1-21
📞 0745 999 123

Karibu EACLC tusherekee mwaka 1 pamoja... Nunua, Shinda na Furahia! ✨🎊

Asante sana M
05/07/2026

Asante sana M

Asante sa a
05/07/2026

Asante sa a

Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Mgeni Rasmi, , kwa kutuheshimisha kwa kuhudhuria na kuzindua rasmi tawi jipya la TruM...
30/06/2026

Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Mgeni Rasmi, , kwa kutuheshimisha kwa kuhudhuria na kuzindua rasmi tawi jipya la TruMark Stationery & Books katika Soko Kuu la Kimataifa la Afrika Mashariki (EACLC).

Tunathamini sana maneno yako ya pongezi, ushauri na faraja, pamoja na fursa ulizotuhamasisha kuzitumia ili kuendelea kukuza biashara yetu na kutoa huduma bora kwa jamii.

Asante kwa muda wako, sapoti yako na kutuunga mkono katika hatua hii muhimu ya ukuaji wa TruMark. Tunatarajia kuendelea kushirikiana katika kujenga uchumi na kuhudumia jamii yetu kwa ubora zaidi.

Asante sana, Mhe. Albert Msando. Mungu akubariki.

30/06/2026

Supporting system... thanks a lot my rich friend for the heart to everthing....

You gave support and encouragement to make sure we have this dream into reality Desa lights. YES WE DID IT

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madam Trumark posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Madam Trumark:

Shortcuts

Share