Farmgoldtz

Farmgoldtz honey dealers and contract farming for African Bird's Eye Bei ya Pilipili kavu sio chini ya 6,000/= kwa kilo. Uhakika wa soko ni 100%.. Usisite kuwasiliana nasi

Farmgoldtz ni wakulima na Wanunuzi wa zao la pilipili kichaa (African Bird's Eye) inayopata umaarufu K**a Dhahabu Nyekundu.. Kutokana na ukubwa wa mahitaji yake katika soko la Dunia tunahamasisha wakulima na wote wanaotaka kuchangamkia Fursa katika kilimo kulima zao Hili kwa kuingia mkataba nasi. Tumejidhatiti kukuhudumia na kuinunua popote ilipo. Ligeuze shamba lako kua Mgodi mpya wa dhahabu.

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Telephone

+255763122458

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Farmgoldtz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Farmgoldtz:

Shortcuts

Share