Lamama technical service

Call Website Contact the business

Lamama technical service Deals with supplies of LPG Accessories, NDT services, Metalworks, construction and engineering works

Habari πŸ‘‹ , Unatafuta LPG Carburetor yenye ubora na utendaji mzuri kwa mfumo  wako wa mafuta kwenda kwenye gas LPG? Tunaz...
08/10/2026

Habari πŸ‘‹ , Unatafuta LPG Carburetor yenye ubora na utendaji mzuri kwa mfumo wako wa mafuta kwenda kwenye gas LPG?
Tunazo LPG Carburetor zinazosaidia kuchanganya LPG na hewa kwa uwiano unaofaa, hivyo kusaidia injini kufanya kazi kwa ufanisi na matumizi mazuri ya gesi.
βœ… Quality & Reliable
βœ… Suitable for LPG systems
βœ… Imara na yenye performance nzuri
βœ… Inafaa kwa matumizi mbalimbali ya magari na vifaa vinavyotumia LPG.

πŸ“ž +255 756 095 678 & +255 693 204 465
πŸ“§ [email protected]

Wasiliana nasi leo kwa bei na maelezo zaidi.

Karibu tupatie mahitaji yako, tutakushauri kifaa kinachofaa zaidi.

08/10/2026
07/10/2026
Unatumia kifaa Gani cha usalama wakati wa kuchomea dhahabu au kukata plate kupitia gun ya gas?
02/10/2026

Unatumia kifaa Gani cha usalama wakati wa kuchomea dhahabu au kukata plate kupitia gun ya gas?

29/09/2026

MIFUMO YA LPG & NATURAL GAS πŸ”₯

Mfumo salama na imara wa gesi SIO bomba na regulator pekee.

LAMAMA NDT INSPECTION & GENERAL SUPPLIES LTD tunajihusisha na mifumo ya LPG na Natural Gas, ikiwemo:

βœ… Ufungaji wa mifumo ya gesi
βœ… Gas Piping Installation
βœ… Manifold Installation
βœ… Pressure Regulation
βœ… Gas Flow Monitoring
βœ… Valves & Gas Accessories
βœ… Pressure Testing
βœ… Leak Testing
βœ… Maintenance & Servicing
βœ… Mifumo ya gesi ya viwandani na biashara

KARIBU, iwe unaanzisha mfumo mpya wa gesi au unataka kuboresha mfumo uliopo, tunakusaidia kutambua mahitaji ya mfumo na kuchagua vifaa vinavyofaa.

Mfumo wa gesi unahitaji usanifu, ufungaji na testing sahihi β€” siyo makadirio.

πŸ“² Call/WhatsApp: +255 756 095 678 & +255 693 204 465
🌐 www.lamama.co.tz

LAMAMA NDT INSPECTION & GENERAL SUPPLIES LTD



28/09/2026

πŸ”₯ GAS FLOW METERS AVAILABLE πŸ”₯

Unatumia LPG au Natural Gas lakini hujui gas inayopita kwenye mfumo wako kwa wakati halisi?

β›½ GAS FLOW METER inakusaidia kufanya monitoring ya gas flow na matumizi kwenye mifumo mbalimbali.

βœ… LPG Systems
βœ… Natural Gas Systems
βœ… Industrial Applications
βœ… Commercial Kitchens
βœ… Boilers & Burners
βœ… Gas Distribution Systems

πŸ”§ Tunakushauri meter kulingana na:
β€’ Gas type
β€’ Pressure
β€’ Flow rate
β€’ Pipe size
β€’ Application

πŸ“ž LAMAMA NDT INSPECTION & GENERAL SUPPLIES LTD

Specialized in LPG & Natural Gas Systems

πŸ“ Dar es Salaam | Mbeya | Shinyanga
πŸ“² WhatsApp/Call: +255 756 095 678 / +255 693 204 465
🌐 www.lamama.co.tz



Address

P. O. BOX 32740
Dar Es Salaam
82818

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lamama technical service posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lamama technical service:

Shortcuts

Share