02/07/2025
Habari Burundi🇧🇮!
Mimi ni Modest Buganzi kutoka Tanzania🇹🇿, na nina furaha kutanua biashara yangu hadi Burundi🇧🇮.
Ikiwa una nia ya kujua zaidi kuhusu biashara yangu na fursa hii nzuri tafadhali jisikie huru kuwasiliana na mimi!
📞 Nitafte WhatsApp +255 625 553 828 au acha namba yako hapa, nami nitawasiliana nawe.
Asanteni❤️🙏