Fursa100

Fursa100 UNA NDOTO NA HITAJI LINALOKUSUKUMA KUFANYA KAZI? PIGA/WhatsApp +255743502222

NAITWA JUMANNE
NAFUNDISHA WATU KUJENGA BIASHARA KUBWA KWA MTAJI MDOGO NZURI ZAIDI NI BIASHARA YENYE MFUMO WA KIPATO ENDELEVU NA HAITAJI USIMAMIZI MKUBWA.UNGEPENDA KUJUA ZAIDI?

🍾🍾
09/08/2026

🍾🍾

09/08/2026
Kwa pamoja tunasema Moyo wetu umejaa shukrani zisizo na kifani kwa kila mmoja wenu mliochukua muda kututakia heri ya ndo...
08/08/2026

Kwa pamoja tunasema Moyo wetu umejaa shukrani zisizo na kifani kwa kila mmoja wenu mliochukua muda kututakia heri ya ndoa,Hadi harusi Kila ujumbe, kila simu, kila dua na kila neno la upendo mlilonitumia liligusa nafsi zetu kwa namna ya kipekee.

Sikuhii haingekuwa na maana k**a isingepambwa na hisia zenu za upendo, moyo wenu wa ukaribu, na baraka mlizonitamkia.
Tumejiona wenye bahati kubwa kuwa na watu wa thamani k**a ninyi maishani mwetu

Kwa upendo wenu, mmetufanya tutabasamu zaidi. Kwa maneno yenu, mmetupa nguvu mpya. Na kwa dua zenu, naamini ndoa yetu mbele itaangazwa.

Asanteni sana kutoka moyoni. Mungu awazidishie baraka na furaha k**a ile mlotuletea Jana .

Leo Mr & Mrs JUMANNE tunatambua kwa moyo wa dhati kuwa siku ya Harusi yetu isingekuwa ya kipekee k**a isingekuwa ninyi. Mmesimama nasi mmetubeba pale tulipochoka, mkatufariji pale tulipokuwa na hofu, mkatoa muda, nguvu, mawazo na mali zenu bila kutarajia malipo yoyote.Nimegundua kuwa utajiri wa kweli si fedha wala mali, bali ni kuwa na watu wenye mioyo ya upendo k**a ninyi. Kila hatua mliyopiga kwa ajili yetu imeacha alama isiyofutika moyoni kwetu Mmefanya ndoto zetu iwe uhalisia, na hilo hatutaweza kulisahau maishani. K**a Mimi na mke wangu tungekuwa na uwezo wa kuwalipa kwa kila jema mlilotutendea, bado nisingeweza kufikia thamani ya upendo wenu. Ninachoweza kufanya ni kusema asanteni, lakini najua neno hilo ni dogo mno kulinganisha na ukubwa wa wema wenu.
Namuomba Mungu, ambaye huona hata jambo dogo lililofanywa kwa upendo, awafungulie milango ambayo hakuna mwanadamu atakayeifunga.* Awabariki katika familia zenu, biashara zenu, kazi zenu na ndoto zenu. K**a vyeo vyenu vya juu kazini viipo mbali basi namwomba Mungu awasogezee karibu na K**a ridhi zenu ziko mbali Allah awasogezee siku zote msipungukiwe na chochote,kuanzia furaha , aman,afya,mafanikio,Ridhiki. Machozi ya furaha mlotufanya tutoe Jana , Mungu ayabadilishe kuwa vicheko na ushindi usioisha katika maisha yenu.🤲🙏

❤️❣️💞🫂
04/08/2026

❤️❣️💞🫂

02/08/2026

A&J💞♥️

Miaka mitano ijayo nitakuwa naishi maisha ya ndoto zangu nani awe sehemu ya hi safari utajivunia uamuzi unaoufanya leo.....
14/07/2026

Miaka mitano ijayo nitakuwa naishi maisha ya ndoto zangu nani awe sehemu ya hi safari utajivunia uamuzi unaoufanya leo... au utajutia nafasi uliyoiacha ipite. Chagua kuanza na mimi
Nitumie sms whatsapp nahitaji #0743502222

The secret of success is to get started
14/07/2026

The secret of success is to get started

Your real life is 100%  of your perception. Na ukibadili mtazomo umebadili maisha Jumanne Jumanne
14/07/2026

Your real life is 100% of your perception.
Na ukibadili mtazomo umebadili maisha Jumanne Jumanne

Address

Sinza Madukani
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fursa100 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fursa100:

Shortcuts

Share