Mchumi Consult

Mchumi Consult 🟠Huduma za IT
🟠Masoko mtandaoni
🟠Masoko kawaida
🟠Business training
🟠Ushauri wa biashara

K**a akaunti yako ya Facebook au Instagram ile ya kurusha matangazo(sponsored ads), imezuiwa kutangaza huenda ina mojawa...
27/06/2023

K**a akaunti yako ya Facebook au Instagram ile ya kurusha matangazo(sponsored ads), imezuiwa kutangaza huenda ina mojawapo ya matatizo haya👇
🟠Unalo deni wanalokudai na hujalipa
🟠Payment method ya akaunti yako haijakaa sawa
🟠Umevunja sera zao
🟠Inactive ad akaunti ya akaunti yako
🟠Imezuiwa kwa sababu za kiusalama
🟠Sababu nyinginezo

Sasa njoo ukutane na team yetu yenye uzoefu juu ya sponsored ads za Facebook, Instagram, YouTube, google,SEO n.k
Njoo wasap tukuelekeze zaidi

Note: tunahitaji watu walio siriaz tu na wanaotaka warudi hewani kutangaza biashara zao tena,k**a huna tatizo basi waache wenzio walio na changamoto waje
WhatsApp 👉 0769218125
📍 Mchumi Consulting

Follow👉  alafu njoo whatsap tusaidiane kuleta tija kwenye biashara zetu.Usihangaike tena na usikae na hizo changamoto za...
18/06/2023

Follow👉 alafu njoo whatsap tusaidiane kuleta tija kwenye biashara zetu.

Usihangaike tena na usikae na hizo changamoto zako.
Sisi tutasaidiana nawe kutatua na kufanya haya kwako;

🟠NAMNA YA KUFANYA BIASHARA MTANDAONI
Sisi tutakuelekeza njia nyepesi zenye kueleweka za kufanya biashara na kupata masoko kiurahisi hili tuachie sisi.

🟠AKAUNTI ZILIZOFUNGWA
Hizo akaunti zako zilizofungwa na kuzuiwa kutangaza tutazirekebisha na tutakuelekeza namna bora ya kufanya ili zisifungwe tena,na tutakupa njia ya kutatua zikizuiwa.

🟠 KUDIZAINI MATANGAZO
Ili kunasa wateja mtandaoni unatakiwa uwe na matangazo yenye mvuto,sisi tutakusaidia kudizaini matangazo utakayotumia kutangaza mitandaoni.

🟠KUKUZA AKAUNTI MITANDAONI
Tutakuelekeza njia bora ya kukuza akaunti zako mitandaoni sio zile njia za kupewa followers fake,leo wapo kesho hawapo.
Sisi hatukuelekezi njia za kijanja janja.

🟠 USIMAMIZI WA BIASHARA
Tutakupa ushauri wa kipi cha kufanya kipi cha kuacha kwenye biashara yako,pia tunatoa mafunzo online na mafunzo ya kawaida, tutaelekezana.

🟠 KUTENGENENZA WEBSITE
Tutairasimisha biashara yako kwa wewe unaehitaji website na pia tutaiweka biashara yako kwenye google map na kupata google profile

🟠 KUSIMAMIA AKAUNTI
Tutasimamia akaunti zako za mitandaoni na tutakuunga kwenye program yetu ya vifurushi vya kusimamia na kutengenenza akaunti zako ndani ya mwaka mzima.
_______________
WASILIANA NASI
Tunapatikana:
Dar/Mwanza/Mbeya/Tunduma
Call:0769 218125
WhatsApp: 0714260266
Follow page zetu
________________

Bado unahangaika kukuza biashara yako mpaka leo na biashara inashuka?Usihofu,tumekuletea somo na melekezo ya namna ya ku...
03/05/2023

Bado unahangaika kukuza biashara yako mpaka leo na biashara inashuka?
Usihofu,tumekuletea somo na melekezo ya namna ya kutunza hesabu za biashara yako ukitumia simu yako tu.
Tutakupa maelekezo na namna ya kutumia App nzuri ili kukuwezesha mambo mengi k**a.
1.Kutunza hesabu za mapato na matumizi
2.Kurekodi unaowadai na kuwakumbusha
3.Kuzuia matumizi yasiyo na tija kwenye biashara yako.
4.Tutakupa na mbinu za kuuza na kurekodi vizuri mauzo.
Njoo whatsap 👉0714260266
KUMBUKA
Gharama ni elfu tano(5,000/-)
Mahali: Whatsap

Address

Mwanza
Dar Es Salaam
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mchumi Consult posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mchumi Consult:

Share