Jusam Group Limited

Jusam Group Limited OUR MAIN ACTIVITIES:
1. Selling, hiring, designing and fabricating shipping containers into the offices, houses, clinics, restaurants, kiosks etc.

2.

We do all crane services.

Habari ndugu mteja,  bei zetu elekezi za makontena ni k**a zifuatavyo👇🏻:1. 20ft containers tunauza TZS mil 4.2 kabla ya ...
20/01/2026

Habari ndugu mteja, bei zetu elekezi za makontena ni k**a zifuatavyo👇🏻:

1. 20ft containers tunauza TZS mil 4.2 kabla ya VAT negotiable.

2. 40ft HC containers tunauza TZS mil 7.2 kabla ya VAT negotiable.

Containers zetu zina nyaraka zote muhimu na zinapatikana katika ICD mbalimbali hapa Kurasini kulingana na ICD gani tutakayokuwa tumeelekezwa na "Shipping line" husika baada ya kuzinunua kontena hizi kwenye minada mbalimbali ya uuzaji wa makontena duniani.

Karibu sana🙏ofisini kwetu KURASINI jirani na ofisi ya uhamiaji ili uweze kuchagua kontena lako sasa.

Tupigie!, Tukufikie! na Tukuletee Kontena lako sasa! +255754745874

"Happy new year 2026! We sincerely appreciate your continued support and look forward to achieving greater success toget...
01/01/2026

"Happy new year 2026! We sincerely appreciate your continued support and look forward to achieving greater success together in the year ahead".

Best regards,
JUSAM GROUP Teams🙏
0754745874

Jusam Group team we wish you all Merry Christmas and happy new year 2026👋
25/12/2025

Jusam Group team we wish you all Merry Christmas and happy new year 2026👋

We repair and restore shipping containers to strong, usable conditions. From minor fixes to full refurbishment we've got...
24/12/2025

We repair and restore shipping containers to strong, usable conditions. From minor fixes to full refurbishment we've got you covered.

For more details please don't hesitate to contact us: +255754745874

Pata kontena lako sasa kabla OFFER yetu haijaisha kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka 2025.Tunazo kontena za sa...
10/12/2025

Pata kontena lako sasa kabla OFFER yetu haijaisha kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka 2025.

Tunazo kontena za saizi zote lile dogo la 20ft na lile kubwa la 40ft tutakuuzia kwa bei nafuu sana, karibuni sana ofisini kwetu Kurasini jirani na ofisi ya uhamiaji.

Tupigie! Tukufikie! Na Tukuletee Kontena lako sasa! +255754745874
Whatsapp us directly via this link below👇

https://wa.me/255754745874

Jusam Group Limited tunauza "empty containers" kwaajili ya kusafirishia mizigo kwenye meli, kwenye malori au kuhifadhia ...
05/12/2025

Jusam Group Limited tunauza "empty containers" kwaajili ya kusafirishia mizigo kwenye meli, kwenye malori au kuhifadhia bidhaa mbalimbali k**a stoo.

Tunauza pia "refrigerator containers" kwaajili ya kusafirishiria au kuhifadhia bidhaa zinazohitaji ubaridi. Hata hivyo, tunatengeneza na kubadilisha kontena "container fabrications" kuwa katika muundo wowote utakayohitaji aidha ofisi, nyumba, duka, mgahawa n.k tutakutengenezea kwa gharama nafuu.

Karibu ujipatie kontena lako sasa "OFFER" yetu bado inaendelea kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka 2025.

Tupigie! Tukufikie! na Tukuletee kontena lako sasa!👉 +255754745874

Jusam Group Team!

Jusam Group Limited tunauza "empty containers" kwaajili ya kusafirishia mizigo kwenye meli, kwenye malori au kuhifadhia ...
03/12/2025

WAHI SASA KONTENA NI CHACHE!!!

27/11/2025

Jusam Group Limited tunauza "empty containers" kwaajili ya kusafirishia mizigo kwenye meli, kwenye malori au kuhifadhia bidhaa mbalimbali k**a stoo.

Tunauza pia "refrigerator containers" na tunafanya "container fabrications" katika muundo wowote utakayohitaji aidha ofisi, nyumba, duka, mgahawa n.k tutakutengenezea kwa gharama nafuu.

Karibu ujipatie kontena lako sasa "OFFER" yetu bado inaendelea kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka 2025.

WAHI SASA KONTENA NI CHACHE!!!

Tupigie! Tukufikie! na Tukuletee kontena lako sasa! +255754745874

Wahi sasa kazi ni kwako ndugu mteja kontena zetu ni imara zaidi hivyo unaweza kusafirishiria mizigo bila shida yeyote il...
20/11/2025

Wahi sasa kazi ni kwako ndugu mteja kontena zetu ni imara zaidi hivyo unaweza kusafirishiria mizigo bila shida yeyote ile.

Karibu sana ndugu mteja ili uchague kontena lako utakalolipenda kabla ya taratibu za malipo.

Ofisi yetu kuu ipo KURASINI jirani na ofisi ya uhamia(pia tuna ofisi ndogo Sinza Bamaga).

Containers zetu zote zina nyaraka zote muhimu na tunazihifadhi katika ICD mbalimbali hapa Kurasini ikiwemo ICD zote za MAERESK(APM), ICD zote za Fantunzi, Jangwani ICD, Tazama ICD na ICD zote za TRH.

Tupigie! Tukufikie! na Tukuletee Kontena lako sasa 0754745874

Badilisha kontena lako kuwa ofisi, nyumba, mgahawa, kiosk, bar na muundo wowote utakaouhitaji tutakutengenezea kwa ghara...
18/11/2025

Badilisha kontena lako kuwa ofisi, nyumba, mgahawa, kiosk, bar na muundo wowote utakaouhitaji tutakutengenezea kwa gharama nafuu.

Karibuni sana wateja wetu ofisini kwetu Kurasini jirani na ofisi ya uhamiaji ili ujipatie kontena lako sasa bado "offer" yetu inaendelea kuelekea msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka 2025. WAHI SASA!!

Tupigie! Tukufikie! na Tukuletee kontena lako sasa👉 +255754745874

Address

Kilwa Road, Kurasini Area Near Immigration Office
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jusam Group Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share