Gech sanitary

Gech sanitary SANITARY & PLUMBING SERVICES
Repairs • Installations • Maintenance
Reliable • Fast • Affordable

02/04/2026
21/03/2026

Feedback kutoka kwa Mteja wetu
Shower mixer za maat ziko vizuri

Maji yanatoka vizuri kabisa karibuni sana
Wateja

Tunapatikana Kariakoo
Mtaa wa nyamwezi na omarilondo

18/03/2026

Disabled supports

ZInawasaidia kukaa na kunyanyuka Wazee,walemavu,wajawazito na watu wenye changamoto za miguu

Wasiliana nasi kwa 📞/ watsap no 0745527332

18/03/2026

Piano shower mixer usikubalia bafu lako
Kukosa kuweka kitu kizuri

Inapatika hapa GECH SANITARY

Nyamwezi na omarilondo

14/03/2026

Piano shower mixer ya kisasa kabisa
Inasoma temperature

Ni imara na Ina ubora wa hali ya juu
Mashine yake ni Nzito haishiki kutu

Ina mwonekano mzuri wakufanya bafu lako
Liwe la kuvutia

Tunapatikana Kariakoo Gerezani mtaa wa nyamwezi na omarilondo ( karibu kabisa na Zahanati ya Gerezani

Tunafanya delivery mikoa yote

Call/watsap 0745527332

Soap dispensersHutumika kuhifadhia Sabuni ya kuoshea vyombo Ni nzuri na imara Zinapatikana kwa jumla na rejareja wasilia...
13/03/2026

Soap dispensers
Hutumika kuhifadhia Sabuni ya kuoshea vyombo
Ni nzuri na imara

Zinapatikana kwa jumla na rejareja
wasiliana nasi 📞/wasp0745527332

Tunapatikana Kariakoo
Nyamwezi na omarilondo street

13/03/2026

Push pillar taps

13/03/2026

KARIBUNI SANA GECH SANITARY

Tunapatikana kariakoo mtaa wa nyamwezi na omarilondo

Address

Gerezani Nyamwezi/omarilondo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gech sanitary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share