Be Consulting Co. Ltd

Be Consulting Co. Ltd BE Consulting Co. Ltd is a multidisciplinary consulting and service group operating through three areas.

The firm delivers environmental and HSE consultancy, business and financial advisory, and procurement and trading solutions.

MAKUNDI YA WALIOPO SOKONIJe  wajua  sokoni  hakuna  adui  bali  kuna  mshindani  wa  kibiashara?Na  je  wajua  kuwepo  k...
12/04/2022

MAKUNDI YA WALIOPO SOKONI
Je wajua sokoni hakuna adui bali kuna mshindani wa kibiashara?

Na je wajua kuwepo kwa mshindani wa kibiashara ni fursa?

Katika biashara nyingi kuna watu walishakuwepo kwenye biashara hiyo kabla au baada ya wewe kuanza kuifanya.

Tupate taswira ya kile ambacho leo nahitaji kukushirikisha kupitia makundi haya;

Market Leader
Ni wale ambao wana mauzo makubwa sokoni na ndio walioshika soko kwa bidhaa husika. Hawa ni wale ambao jina lao la biashara au bidhaa au huduma huja vichwani mwa wateja haraka pale ambapo bidhaa au huduma ya namna hiyo ikihitajika.
Mfano, Katika huduma za ushehereshaji MC Gara B ni market leader katika eneo hilo la huduma. Kutokana na takwimu za mwaka 2021 Vodacom ndio market leader katika sekta hiyo ya biashara ya mawasiliano.

Market Challengers
Ni wale ambao hukuza mauzo yao sokoni kwa kujiwekeza katika ushindani wa kibiashara na washindani wao. Hawa kwa kiwango kikubwa huwa wapo chini ya market leader, hivyo harakati na mikakati yao yote hujiwekeza katika kumshinda market leader wa soko au bidhaa husika.

Mfano mzuri wa Market Challengers ni Maji ya Viwandani k**a vile Uhai au Afya yakipambana na Maji ya Kilimanjaro sokoni.

Market Follower
Ni wale ambao hufuata au hukopi kile afanyacho market leader. Huwa haonyeshi hushindani kwa market leader ila hukopi mikakati yote yenye mafanikio kutoka kwa market leader. Hutambua namna ya kuwashikilia na kuwatunza wateja alionao. Hawa huwa hawana maamuzi yoyote kwenye bei, ubora wala mauzo.
Mfano wa market followers ni wafanyabiashara wanaojihusisha na uwakala wa fedha mtandaoni uwe ule wa benki au mitandao ya simu, au wasajili laini za mitandao ya simu n.k.

Market Nicher
Ni soko ambalo hutumika kuuza bidhaa maalum, ni soko ambalo huuza bidhaa zinazotosheleza mahitaji maalum ya soko fulani, kiwango maalum cha bei ya bidhaa, ubora wa uzalishaji na jamii iliyokusudiwa. Si kila bidhaa inaweza kutafsiliwa na Market niche. Mfano King’amuzi cha DSTV ina market niche ya wateja ambao hufuatilia ligi ya Uingereza kwa nchi ya Tanzania. Hii ni tofauti na wateja wa King’amuzi cha AZAM ambao wateja wake kadhaa ukipenda kwa ajili ya ligi kuu ya nchi hiyo ya Tanzania.

Baada ya kutambua makundi hayo, tuna maswali ya kujiuliza k**a wafanyabiashara;

1. Je kati ya hayo makundi tupo kundi lipi ?

2. Je twataka kuwa kundi lipi kati ya hayo kwa bidhaa au huduma tuiuzayo sokoni?

3. Je napaswa kuwa na nini au kufanya nini ili nifikie kundi ninalolitamani?

NB: Usikose kipindi kijacho tutakachotazama mbinu za kuingia sokoni kwa kundi fulani.

Imeandaliwa na;

BE Consult Ltd
Tel: +255 713 706 562
Watsup: +255 786 670 237
Facebook: Be Consult Co. Ltd
Instagram: beconsult_co
E-mail: [email protected] / [email protected]

The Parent-Child Relationship is one that nurtures the physical, emotional and social development of the child. It is a ...
18/03/2022

The Parent-Child Relationship is one that nurtures the physical, emotional and social development of the child. It is a unique bond that every child and parent will can enjoy and nurture. This relationship lays the foundation for the child’s personality, life choices and overall behaviour. It can also affect the strength of their social, physical, mental and emotional health.

Provide Sales skills to youths of St. Karoli Lwanga Parish at Yombo Dovya.
18/03/2022

Provide Sales skills to youths of St. Karoli Lwanga Parish at Yombo Dovya.

Let us keep and protect the world for our generation and the next one.
18/03/2022

Let us keep and protect the world for our generation and the next one.

TUBADILISHANE UZOEFU KWENYE HILI.Mwaka unapoanza wengi hujiwekea MALENGO. Na wengine huenda mbali zaidi hupanga hadi BAJ...
03/01/2022

TUBADILISHANE UZOEFU KWENYE HILI.
Mwaka unapoanza wengi hujiwekea MALENGO. Na wengine huenda mbali zaidi hupanga hadi BAJETI katika mwaka husika kulingana na kipato cha mtu husika.

Lakini kuna ombwe (gap) kubwa kati ya MALENGO au BAJETI na UTEKELEZAJI au UFANIKISHAJI wake.

1. Je nini husababisha ombwe hilo?

2. Nini tufanye kuondokana na ombwe hilo?

Asanteni na Karibuni.

27/10/2021

Problem Definition determines how that problem will be solved. Most of the leaders in whatever professionals had been making a big mistake, by leave out the problem definition.

In my working experience as salesperson often heard my boss speak angrily to his subordinates, saying, “The Company spent a lot of money developing the product, and none of you are selling it. If you don’t get out to the market and sell the product, I’m going to find myself some salespeople who can sell!!!”

Clearly, he defines the problem in terms of having salespeople who can’t sell. But, given that none of the salespeople can sell the product, I am sure he was wrong. Something was wrong with the product or market, or the competition is killing them. It is doubtful to have all bad salespeople!!!

However, this sales manager has defined the problem in terms of people, and that is the way it must be solved. Just imagine, he replace all of the salespeople. He will still have the same problem, as he has not addressed the actual root.

Some leaders define a problem as a goal. A goal in itself is not a problem. A problem is a hole in between where we are and where we want to be, with blockage that prevent easy movement to fill up the hole

14/10/2021
According to EPA Environmental justice is the fair treatment and meaningful involvement of all people regardless of race...
13/10/2021

According to EPA Environmental justice is the fair treatment and meaningful involvement of all people regardless of race, color, national origin, or income with respect to the development, implementation and enforcement of environmental laws, regulations and policies.

Does Tanzania have any initiative towards Environmental justices? Mention any initiative you know.

Address

Temeke
Dar Es Salaam
336

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 14:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Be Consulting Co. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Be Consulting Co. Ltd:

Share