Hefota Project Plan Services

Hefota Project Plan Services HEFOTA PROJECT PLAN SERVICES (A). Research Proposal and Federation Write Up. (B). Project (Fund) Proposal Write Up. (C). Business Plan Write Up. (D).

Constitution Write Up

20/04/2025

AFYA BORA NI MTAJI:-
HEFOTA INSTITUTION Tunatoa huduma Elimu kwa HEFOTA OPEN SCHOOL Mbagala Kilungule Kwa Mangi apa CCM zinapogeuzia bajaji za mjini DAR ES SALAAM

Taasisi inatoa huduma za Afya.
Eidha wewe, Familia Yako, Ndugu, Jamaa au Rafiki anashida ya
(VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI, NGUVU ZA KIUME, FIGO, MOYO, UTI, SICKLE CELL, UGUMBA, MACHO, PRESSURE na mengine . . . !

Fika ofisini tutakushauri Bure na Kukuelekeza Taasisi tuliyoingia nayo mkataba kukutana na Daktari na kupima ni TSH.30,000/= Tunatibu Kwa Tiba Lishe utafiti unaonesha wengi wameokoa Masha kupitia Tiba Lishe

CONTACT US 0764818477

HEFOTA INSTITUTIONAsasi ya Kiraia ya Huduma za Elimu Kwa Kompyuta na Kubuni MiradiP.O. BOX 999, MBAGALA KILUNGULE, DAR E...
05/03/2025

HEFOTA INSTITUTION
Asasi ya Kiraia ya Huduma za Elimu Kwa Kompyuta na Kubuni Miradi
P.O. BOX 999, MBAGALA KILUNGULE, DAR ES SALAAM, TANZANIA
REG NO: 471670 | SIMU NA WHATSAPP: 0784-390819
Follow us on TikTok: HEFOTA TV | YouTube: HEFOTA TV.

TAARIFA KWA UMMA:

📅 Tarehe 16.06.2025
Asasi yetu HEFOTA INSTITUTION imeandaa Tamasha la Siku ya Mtoto wa Afrika, litakalojumuisha shule zote zinazoizunguka Mtaa wa Kilungule, ambapo hakuna shule ya serikali wala binafsi iliyosajiliwa rasmi ya msingi wala sekondari. Tamasha hili pia litahusisha wanavikundi wote waliopata Mafunzo kupitia Semina zinazosimamiwa na Asasi yetu.

Kauli mbiu ya tamasha hili ni:
"DARASA NI DAWATI" – Kauli inayosisitiza nguvu ya elimu na umuhimu wa darasa katika maisha ya kila mtoto.

🎯 Kauli Mbiu ya Pili:
"MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUSAJILIWA KISHERIA NA UJASIRIAMALI ILI KUONGEZA KIPATO"
Hii ni juhudi ya kukuza na kuhamasisha vikundi vya vijana kujiendeleza kisheria na kiuchumi ili kuleta maendeleo katika jamii.

HEFOTA INSTITUTION inawaalika wakuu wa shule za msingi na sekondari kutoka shule zifuatazo:

1. CHARMBE PRIMARY

2. NZASA PRIMARY

3. CHEMCHEM PRIMARY

4. NZASA SEKONDARI

5. KILUNGULE SEKONDARI

6. KIBURUGWA PRIMARY

7. KINGUGI PRIMARY

8. KINGUGI SEKONDARI

9. BUZA PRIMARY

10. BUZA SEKONDARI

11. KINYANTILA PRIMARY

12. KIYOMBO PRIMARY

13. MWANAGATI PRIMARY

14. MWANAGATI SEKONDARI

15. SAKU PRIMARY

16. SAKU SEKONDARI

📣 MAONYESHO YA KISANAA NA KITAALUMA:
Wanahitajika kuandaa vijana kwa mashindano ya maonyesho ya kisanaa na kitaaluma. Washindi wa nafasi ya kwanza, pili, na tatu watajinyakulia zawadi kubwa kutoka kwa mgeni rasmi.

💡 Mjasiriamali Bora:
Mjasiriamali atakayefanya vizuri zaidi atapata zawadi kutoka nafasi ya kwanza hadi tatu, k**a ishara ya kutambua na kuhamasisha juhudi zao katika sekta ya ujasiriamali.

🎯 Walengwa, ziada juhudi katika kila sekta ili kufanikisha tamasha hili kwa mafanikio makubwa!
Hii ni fursa muhimu kwa vijana, wakuu wa shule na wanavikundi kuonesha uwezo wao, talanta, na kujenga jamii yenye mwelekeo wa maendeleo.

HEFOTA INSTITUTION
"We Promote Your Future Through Education"

MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUSAJILIWA KISHERIA NA UJASIRIAMALI ILI KUONGEZA KIPATO KWA VIKUNDI
12/12/2024

MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUSAJILIWA KISHERIA NA UJASIRIAMALI ILI KUONGEZA KIPATO KWA VIKUNDI

EPISODE YA 3MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUAJILIWA KISHERIA:-Huduma za Taasisi nyingi za fedha zinawalenga wafanyakazi, watu we...
27/07/2024

EPISODE YA 3
MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUAJILIWA KISHERIA:-
Huduma za Taasisi nyingi za fedha zinawalenga wafanyakazi, watu wenye uwezo mkubwa, watu waishio mijini, watu wenye dhamana za kukopesheka na matokeo yake kundi kubwa ambalo ni pamoja na Wananchi wa vijijini, wananchi wasio na dhamana zisizohamishika na wale Vijana wote ambao wamemaliza masomo Bado wanatengwa na huduma za kifedha Kwa kuwa nchi za Dunia ya tatu zanalenga zaidi dhama Ili mtu aweze kukopesheka na Siyo mawazo k**a ambavyo nchi zilizoendekea Zina yotoa huduma zake. Mashariti magumu ya upatikanaji wa huduma ya kifedha yanawafanya watanzania wengi kutonufaika na huduma za kifedha na matokeo yake kundi kubwa la watu wenye kipato Cha chini kuendelea kuwa masikini.

Serikali na Taasisi mbalimbali zimeweza Kubuni mipango na mikakati ya Kumsaidia, kuboresha huduma za kifedha Kwa wananchi na miongoni mwa mifumo hiyo ni pamoja na huduma zitolewazona Benki, Vyama vya kuweka na kukopa Yaani SACCOS na Taasisi mbalimbali za kifedha k**a zilivyoainishwa katika Sheria ya Fedha ya mwaka 2018 kundi la pili na nyingine nyingi. Pamoja na uwepo wa Taasisi hizi lakini Bado kumekuwa na tatizo la kuwafikia watu wengi ambao ama wametengwa au hawana Vigezo katika upatikanaji wa huduma za kifedha waishio vijijini na mijini.

HEFOTA INSTITUTION
Civil Institute of Education Services with Computer and Project Plan
"We Promote your Future through Education".

EPISODE YA 2.MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUAJILIWA KISHERIA:-Ueneaji wa vikundi katika maeneo mbalimbali na ukuaji wa mitaji n...
27/07/2024

EPISODE YA 2.
MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUAJILIWA KISHERIA:-
Ueneaji wa vikundi katika maeneo mbalimbali na ukuaji wa mitaji ndani ya VIKUNDI umeongezeka na kuchochea makundi mbalimbali ya kijamii kuanzisha vikundi maeneo tofautitifauti Kwa lengo la kupata huduma za kifedha na kijamii. Huduma za kifedha ambazo tunaziongelea katika Mafunzo haya ni pamoja na uhifadhi wa fedha kupitia mfuko wa hisa na mfuko wa Jamii, huduma za mikopo hapa tunaongelea mikopo ya hisa na mikopo ya Jamii lakini pia vikundi vimechukuwa nafasi kubwa ya wanajamii kujifunza na kutekeleza Kwa vitendo huduma zingine mbalimbali za kifedha. Mifumo Mingi ya kifedha ambayo imeanzishwa imebainika kutokuwa Rafiki Kwa wananchi wa kawaida na hasa kutokana na kuwepo kwa mashariti magumu ya upatikanaji wa huduma hizo. Taasisi za kifedha Kwa Tanzania zimekuwa zikingezeka Kila mwaka na tafiti mbalimbali zinaonesha ni watanzania wachache ambao wananufaika na huduma hizo lakini watanzania wengi hawana manufaa kutokana na utaratibu wa kisheria au kutokufikiwa katika maeneo wanaoishi.

HEFOTA PROJECT PLAN SERVICE
"We Promote your Future through Education Services"
PHONE & WHATSAPP NO 0784 - 390819

EPISODE YA 1.MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUAJILIWA KISHERIAUTANGULINGULIZIMAELEZO YA AWALIMfumo wa VICOBA unaendelea kuenea Kw...
27/07/2024

EPISODE YA 1.
MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUAJILIWA KISHERIA
UTANGULINGULIZI
MAELEZO YA AWALI
Mfumo wa VICOBA unaendelea kuenea Kwa Kasi ndani na nje ya Tanzania. Mfumo umeonyesha mafanikio makubwa Kwa wadau wake hasa katika kubadilisha Jamii tabia ya uwekezaji wa fedha na utaratibu wa huduma za mikopo. Pampoja na mafanikio hayo tchangamoto nazo zimezidi kuongezeka hasa kutokana na ukuaji wa mitaji na wanachana wengi kutokuwa na Elimu sahihi ya uendeshaji wa VIKUNDI vya VICOBA. Mfumo wa VICOBA imekuwa mfumo mbadala Kwa wananchi hasa baada ya mifumo iliyokuwepo miaka ya nyuma na Kwa Sasa ikijiendesha kibiashara na kutokuwa na tofauti na Uendeshaji wa Taasisi za kifedha na Benki za biashara. Kutokana na Changamoto za kimaisha ikiwemo upatikanaji wa huduma za kifedha Kwa wananchi wengi mfumo wa VICOBA umekuwa kimbilio hasa kutokana na Taratibu za uendeshaji na mfumo wa utoaji wa huduma za kifedha na kijamii. Uendeshaji wa vikundi vya VICOBA ni rahisi, Haina gharama kwakuwa kikundi hakina Wajibu wa kuwa na ofisi, hakuna wafanyakazi wa kulipwa mishahara katika kikundi na mfumo wa utunzaji wa kumbukumbu ni rahisi. Mambo haya yametokana na ubunifu ambao ulifanyika kutokana na muundo, maumbile na Taratibu ambayo yanaongeza hamasa Kwa wananchi wa Rika zote kujiunga na VIKUNDI vya VICOBA.

14/07/2024
SIKU YA MTOTO WA AFRIKA.Siku ya Mtoto wa Afrika ( Kwa Kingereza: Day of the African  Child) ni siku ya inayosherekewa Ki...
17/06/2024

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA.
Siku ya Mtoto wa Afrika ( Kwa Kingereza: Day of the African Child) ni siku ya inayosherekewa Kila mwaka tarehe 16 Juni tangu mwaka 1991 ilipoteuliwa na Umoja wa Afrika katika kuenzi michango ya Watoto walioshiriki katika maandamano katika Mji wa Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976 pamoja na kujengea Jamii uelewa juu ya umuhimu wa Elimu Bora Kwa Watoto.

Tarehe 16. Juni 1976, maelfu ya watoto katika nchi ya Afrika Kusini walikusanyika katika Mji wa Soweto Kwa ajili ya maandamano yenye malengo ya kudai Elimu Bora; Mamia ya watoto walipigwa risasi na kuuliwa, Watoto zaidi ya elfu moja walijeruhiwa.

Tarehe 16. Juni ya Kila mwaka Mataifa, Jumuiya mbalimbali na Jumuiya za kimataifa pamoja na wadau mbalimbali hukusanyika pamoja Kwa ajili ya kujadili fursa na Changamoto za Watoto.

HEFOTA INSTITUTION ni Asasi ya kiraia ya huduma za Elimu Kwa Kompyuta na Kubuni Miradi Tarehe 16.06.2024 tumeandaa Tamasha la siku ya Mtoto wa Afrika hapa kwetu Mbagala Kilungule Kauli mbiu yetu mwaka huu ni "DARASA NI DAWATI"

Shule zinazotuzunguuka ambazo watoto wa Kilungule wanaosoma hazina madawati ya kutosha hivyo
" DARASA NI DAWATI ni Kampeni ya kuchangia upatikanaji wa madawati hususan Shule za Msingi:-
01. NZASA PRIMARY
02. CHARAMBE PRIMARY
03. CHEMCHEM PRIMARY
04. KIBURUGWA PRIMARY
05. KINGUGI PRIMARY
06. SAKU PRIMARY
07. MWANAGATI PRIMARY
08. KIYOMBO PRIMARY
09. KINYANTILA PRIMARY
10. BUZA PRIMARY
HEFOTA INSTITUTION
"We Promote your Future through Education"

Address

Kilungule Mwisho Wa Ukuta Karibu Na Kanisa La FPTC
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hefota Project Plan Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share