Tujenge Systems

Contact the business

Tujenge Systems Tunahusika na ujenzi wa mifumo vyoo vya kisasa kwa maana ya biodigester toilet system, plumbing issu

28/03/2026
*karibu kwa kazi nzuri ya kujenga mifumo ya choo ya kisasa kwa kutumia vitofali vya mshazali**Gharama zetu ni nafuu sana...
28/03/2026

*karibu kwa kazi nzuri ya kujenga mifumo ya choo ya kisasa kwa kutumia vitofali vya mshazali*

*Gharama zetu ni nafuu sana kwa wakazi wa Dar ni 900,000(kila kitu ni juu yetu mteja tuandalie maji ndo jukumu lako) , kwa wateja wetu wa mkoani gharama zetu ni 1,400,000 tu (kila kitu ni juu yetu mteja tuandalie maji)*

*shimo letu linakuwa na urefu wa futi 10 kwa futi 6*

*k**a kuna marekwbisho yoyote ya ziada mbali na mfumo wetu gharama zitaongezeka*

*karibuni sana kwa huduma nzuri namba zetu ni 0765987786, 0783208095.*

Address

Ikungi Street, Kindoni B
Dar Es Salaam
33996DSM

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tujenge Systems posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tujenge Systems:

Shortcuts

Share