Mnunuzionline

Mnunuzionline Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mnunuzionline, Business consultant, dar es salaam, Dar es Salaam.

26/09/2025

Nimekua nikisave zaidi ya 1M kila mwezi kwa kufanya hivi👇👇👇

Mnunuzionline tunatoa huduma zifuatazo:-1.Kuwasaidia wafanya biashara na watu binafsi, kutafuta bidhaa bora kutoka viwan...
13/03/2025

Mnunuzionline tunatoa huduma zifuatazo:-

1.Kuwasaidia wafanya biashara na watu binafsi, kutafuta bidhaa bora kutoka viwandani, China na Dubai.

2.Kuwasaidia wafanya biashara kufanya malipo ya bidhaa china.

3.kuwasaidia wanunuzi wa bidhaa kukagua ubora wa bidhaa kabla ya kulipia.

4.Tunatoa mafunzo ya bure ya namna ya kununua bidhaa kutoka china.

5.Kusafirisha bidhaa baada ya manunuzi, hadi kufika alipo mteja.

Je' ungehitaji huduma ipi kati ya hizi?

Mnunuzionline tunatoa huduma zifuatazo:1.Kuwasaidia wafanya biashara na watu binafsi, kutafuta bidhaa bora kutoka viwand...
13/03/2025

Mnunuzionline tunatoa huduma zifuatazo:

1.Kuwasaidia wafanya biashara na watu binafsi, kutafuta bidhaa bora kutoka viwandani, China na Dubai.

2.Kuwasaidia wafanya biashara kufanya malipo ya bidhaa china.

3.kuwasaidia wanunuzi wa bidhaa kukagua ubora wa bidhaa kabla ya kulipia.

4.Tunatoa mafunzo ya bure ya namna ya kununua bidhaa kutoka china.

5.Kusafirisha bidhaa baada ya manunuzi, hadi kufika alipo mteja.

Je' ungehitaji huduma ipi kati ya hizi?

Umepata tatizo na bidhaa kutoka Dubai? 😟 Hakuna shaka, tunakusoti! 💯... MnunuziOnline tunakurahisishia kurudisha simu, l...
23/02/2025

Umepata tatizo na bidhaa kutoka Dubai? 😟

Hakuna shaka, tunakusoti! 💯... MnunuziOnline tunakurahisishia kurudisha simu, laptops, na samples kwa uharaka na uhakika📦

Tunakupa suluhisho la haraka, salama, na bila usumbufu. 🔥 Usikose round hi,i tuma kabla ya tarehe 26!

"

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
16102

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mnunuzionline posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share