Kwa Unga bora wa lishe.

Kwa Unga bora wa lishe. karibuni sana.

Viambata: Mahindi Lishe, Mchele, Soya beans, Ulezi na Mbegu za Maboga.Vyote vimechanganywa katika uwiano unaotakiwa,usafi wa hali ya juu imezingatiwa katika kuandaa na kufunga.

09/11/2019

NAMNA YA KUTENGENEZA UNGA WA LISHE (ULEZI)
Mahitaji
1. Mahindi
2. Ulezi kiasi
3.Mchele kiasi
4.Soya beans kiasi kidogo sana
5. Mbegu za maboga au Karanga zilizojengwa
Hatua za kuandaa
1. Chambua mahindi kwa kuondoa mahindi yote mabovu, mawe na uchafu mwingine kisha yaoshe na uanike, fanya hivyo kwa ulezi na mchele pia
2. Anika juani hakikisha kila kimoja kimeanikwa kivyake yaani (separetly)
3.Kaanga Soya beans hakikisha haziungui.
4.Kaanga karanga au mbegu za maboga hakikisha haziungui lakini unashauriwq kutumia mbegu za maboga kwa sababu haziharibu unga mapema k**a karanga. K**a unaenda karanga unaweza kuongezea wakati wa kupika uji wako
5. Sasa changanya mahindi, mchele, ulezi, mbegu za maboga na soya: Changanya vizuri kisha nenda kasage na unga wako utakuwa tayari.
Product #
Phone # 0763103510

03/11/2019

Maisha bila ubunifu yanachosha na kukinaisha: Kwa kulitambua hilo STEICER Product wanakuletea unga bora wa lishe wenye mchanganyiko wa kipekee kwa afya yako: Usipitwe na unga huu bora kabisa, Waone leo kwa kutembelea ofisi zao zilizopo kitunda au wapigie kwa simu 0763103510. Free delivery Ipo mahali popote ulipo ndani ya jiji la Dar es salaam.

26/10/2019

Wapendwa nasubiri tenda, mwisho wa mwezi ndiyo huo na ofa zipo k**a zoteee!!!.....Lakini habari njema ni kuwa bado hujachelewa. Weka odder yako kupitia # 0763103510 free delivery popote Dsm

27/09/2019

Chakula chako afya yako

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255763103510

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwa Unga bora wa lishe. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share