07/08/2023
K**a wewe ni mwanamke au mama wa nyumbani kwa mazingira ya namna yoyote ile iwe ni mke, mhitimu au umeamua tu kuka nyumbani basi hakikisha unasoma huu ujumbe mpaka mwisho
Yawezekana kweli kuna muda imebidi upitie hicho unachokipitia lakini haimanishi kwamba ukae bila kufanya chochote chenye kukuingizia kipato hata ukiwa nyumbani tu
Licha ya hivyo je, ulishawahi kuwaza juu ya maisha yako, vipi kuhusu watoto , watu wanaokutegemea na kukuamini kuwa wewe ndo msaada kwao
Ila usiwe na hofu na mashaka kwani imekuja kukurahisishia maisha yako kwani hata ukiwa nyumbani kupitia simu yako janja na pamoja na elimu ya mbinu za mauzo utaweza kufanya biashara na ukajiingizia kipato
Labda nikueleweshe namna itakavyokuwa ukiwa chini ya Ungalizi wangu
1)Utajua namna ya kutumia simu janja (Smart phone) namna ya kuweza kujipatia wateja na kuuza
2)Ukifanikiwa katika hatua hio nitakuonyesha ramani sahihi zaidi ya kuweza kujiingiza kipato endelevu…