Wanawake.tunaweza

Wanawake.tunaweza Nasaidia wanawake wapambanaji kuongeza kipato Chao kwa muda wao wa ziada�

08/03/2026
Je, wewe ni mwanamke unayetamani kujikwamua kiuchumi?Je, unatamani kuanza biashara lakini hujui pa kuanzia?Usikose maadh...
06/03/2026

Je, wewe ni mwanamke unayetamani kujikwamua kiuchumi?

Je, unatamani kuanza biashara lakini hujui pa kuanzia?

Usikose maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani.

Ambapo wanawake watafundishwa:
-Namna ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo
-Namna ya kutunza na kukuza kipato
-Na namna ya kuwa mwanamke imara na anayejitegemea

Tukio hili litafanyika siku ya Jumapili

Kuanzia saa 4 asubuhi

Katika ukumbi wa Suma JKT Mwenge

Kutakuwa na:

💕Mafunzo

💕Ushuhuda wa wanawake waliofanikiwa

💕Na hamasa ya kujenga maisha bora

Kumbuka,
🥰Mwanamke imara ni msingi wa familia imara

Usikose.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0656562206 au Whatssapp

Karibu sana. 💪💪💪🇹🇿

Address

Sinza
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wanawake.tunaweza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share