Jitegemee Holdings Company Ltd

Jitegemee Holdings Company Ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jitegemee Holdings Company Ltd, Mining Company, P. O. Box 4047, Dar es Salaam.

is a full-service mining company with corporate offices in Dar es Salaam, Tanzania, East Africa and its coal mining sites in Songea, Ruvuma Region in Mbinga District.

Let's make this month our best one yet.
01/09/2026

Let's make this month our best one yet.

28/08/2026
Uongozi na Watumishi wote wa Jitegemee Holdings Company Limited unawatakia Watanzania wote sikukuu njema ya Maulid, tush...
24/08/2026

Uongozi na Watumishi wote wa Jitegemee Holdings Company Limited unawatakia Watanzania wote sikukuu njema ya Maulid, tusherehekee kwa amani na utulivu tukiendelea kudumisha upendo.

21/08/2026

Mkaa kidogo Mapishi Mengi.

17/08/2026

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jitegemee Holdings Company Limited Ndugu. Deogratias Laballa, ameishukuru Serikali pamoja na wananchi wa Wilaya ya Mbinga Vijijini kwa ushirikiano mkubwa wanaotoa katika utekelezaji wa sheria mpya ya madini, kipengele cha kurudisha kwa jamii "Corporate Social Responsibility". Shukrani hizo zilitolewa wakati wa uzinduzi wa zahanati mpya ya Luhagala iliyojengwa na Jitegemee Holdings.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mheshimiwa Zainab Telack, ameipongeza Jitegemee Holdings Company Limited kwa uwekezaji mkubwa wal...
10/08/2026

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mheshimiwa Zainab Telack, ameipongeza Jitegemee Holdings Company Limited kwa uwekezaji mkubwa waliofanya Mkoani Lindi. Pongezi hizo zimetolewa alipotembelea kiwanda kipya na cha kisasa cha kuchakata chumvi cha Jitegemee kilichopo katika Kijiji cha Miteja, Wilaya ya Kilwa.

Mh. Telack amesema uwepo wa kiwanda hicho utawanufaisha sana wananchi wa eneo hilo kwani wao ni wazalishaji wakubwa wa chumvi na walikuwa wakihitaji mwekezaji wa kununua chumvi wanayozalisha. "Kiwanda hiki kimekuja wakati muafaka. Wananchi wetu hapa Miteja ni wazalishaji wakubwa wa chumvi na kwa muda mrefu wamekuwa wakihitaji mwekezaji. Sasa Jitegemee wameleta suluhisho" alisema Mh. Telack.

Kiwanda hik kipo katika hatua za mwisho za kufunguliwa rasmi na kuanza kutoa huduma kwa jamii kwa kuzalisha chumvi yenye viwango vya kimataifa.Uwekezaji huu unatarajiwa kutoa ajira nyingi kwa vijana na wanawake wa mkoa wa Lindi, pamoja na kuchochea uchumi wa eneo hilo.

Salaam kutoka JHCL
08/08/2026

Salaam kutoka JHCL

05/08/2026

Ni rahisi sana, kuwasha, na kutumia, hauhitaji kutumia Nguvu msikilize na kumtazama mtaalam wetu.

Karibu katika msimu mpya, msimu wa heshima kwa Wote tunaishi kwa kilimo, sisi tukilima tunavuna Mkaa, we ukilima unavuna...
31/07/2026

Karibu katika msimu mpya, msimu wa heshima kwa Wote tunaishi kwa kilimo, sisi tukilima tunavuna Mkaa, we ukilima unavuna nini?

Huu ni wakati wako, Mtanzania unaweza kuwa wakala wa Mkaa wa Jitegemee ( Jitegemee Coal Briquettes ) ukiwa popote Tanzan...
31/07/2026

Huu ni wakati wako, Mtanzania unaweza kuwa wakala wa Mkaa wa Jitegemee ( Jitegemee Coal Briquettes ) ukiwa popote Tanzania, huu ni muda wako wa kujipata, na kupata ofisi yako mwenyewe. Piga simu ili kupata utaratibu.

Address

P. O. Box 4047
Dar Es Salaam
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jitegemee Holdings Company Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jitegemee Holdings Company Ltd:

Shortcuts

Share

Category