22/06/2022
LAYERS CAGE
sifa zake
1.Cages zinakusaidia kuweza kufuga kuku wengi katika eneo dogo.
2.Cages zinakusaidia kupunguza gharama za chakula,Kwa maana ni kiasi kidogo cha chakula ndio hupotea kulingana na mfumo mzuri wa chakula uliopo ndani ya cages.
3. Cages zinakusaidia kupunguza gharama za maji ya kuwapatia kuku kwasababu cages zina mfumo mzuri wa unyweshaji maji ambapo ni kiasi kidogo cha maji ambacho hupotea ukilinganisha na ufugaji wa kawaida
4. Cages zinakusaidia kukusanya kwa urahisi mayai,kwamaana kwenye cages kuna sehemu maalumu za kukusanyika mayai, hii hupunguza hasara itokanayo na mayai kudonolewa, kuvunjika kutokana na purukushani
mbalimbali za kuku bandani. (kwa mfugaji wa kuku wa mayai)
5. Cages zinakusaidia kukusanya kwa urahisi mbolea itokayo kwa kuku wako na kuiongezea thamani, hii ni kutokanana cages kuwa na mfumo mzuri wa ukusanyaji wa mbolea. (Hiki kinaweza kuwa chanzo kingine kizuri cha mapato)
6. Cages zinakusaidia kuokoa hadi 75% ya muda
unaotumia kuhudumia kuku wako. Hii ni kutokana na cages kuwa na mifumo mizuri ya Chakula, maji, na mbolea.
7. Cages zinakusaidia kujua idadi ya kuku wako,
kwamaana ni rahisi kuwahesabu kuku wakiwa kwenye cages, ukilinganisha na kuku wasio kwenye cages. Hii pia inakusaidia kugundua kwa haraka k**a kuna wizi wowote uliotokea.
8. Cages zinakusaidia kuzuia kuku kupatwa na
magonjwa.
9. Mabanda haya yamewekwa katika mfumo ambao kuku hazunguki sana, inamaana anakuwa na eneo dogo linasababisha aweze kutaga sana.
Kwasababu virutubisho vingi anavyokula vinaenda
katika utengenezaji wa mayai.
Kwa mahitaji ya cages Bora.
Kuku 96-650,000
128-850,000
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM TEGETA NA GOBA NJIA NNE OPPOSITE NA SHELI YA ATN
TUNASAFIRISHA MIKOA YOTE TANZANIA KWA UTARATIBU MZURI
KWA MAWASILIANO
0659 576363
0744 030325