Najma Collection

Contact the business

Najma Collection Tunashona na kuuza Mabegi na Mikoba aina mbalimbali. Tunauza jumla na rejareja. Tunatuma popote Tanzania na nje ya nchi.

04/09/2026

UBORA UNAONEKANA, NA KAZI NZURI HAIHITAJI MAELEZO MENGI! πŸ”₯

Kila begi tunalolitengeneza katika Namakha Bags tunaliweka umakini, ubunifu na ubora wa hali ya juu.

Hii ni moja kati ya kazi zetu, na bado tunaendelea kutengeneza kwa ajili yako!

Unahitaji begi la kipekee, lenye ubora na linaloendana na style yako?
πŸ‘‰ Namakha Bags tupo kwa ajili yako!

πŸ“ Kibada, Kigamboni – Dar es Salaam
🚚 Tunafikisha oda popote ndani na nje ya Tanzania 🌍
πŸ“ž 0718 828 294

πŸ“© Una oda? Usisite kutuandikia au kutupigia simu.
Namakha Bags β€” Ubora unaobeba thamani.

Namakha Bags tumefanikiwa kushiriki tuzo za TIME AWARDS 2026/2027Hivyo kwa heshima na taadhima tunaomba sana wateja wetu...
24/08/2026

Namakha Bags tumefanikiwa kushiriki tuzo za TIME AWARDS 2026/2027

Hivyo kwa heshima na taadhima tunaomba sana wateja wetu, rafiki, ndugu na jamaa, mshiriki kunipigia kura kwenye mchakato huu unaoendelea.

Ili kunipigia kura na ihesabike ni muhimu kuandika NAMPIGIA KURA 014 au NAMPIGIA KURA Namakha Bags 014. Hapo kura uliyonipigia itakuwa salama.

Nimewania vipengele vitatu tofauti hivyo hapo chini ninaweka link zote tatu na namba ya kupiga kura Kote ni hiyo hiyo 014.

Natanguliza Shukran zangu za dhati kwenu na Mungu awabariki.

Link za vipengele navyowania ni hizi;

Ya kwanza πŸ‘‡πŸΎ

https://www.instagram.com/p/DcTtZNADGnh/?igsi=MTRmMHU1NTlna3U5dQ==

Ya pili πŸ‘‡πŸΎ

https://www.instagram.com/p/DcTrZS9jEo9/?igsi=MXNhZmMwNnhmN2hjeg==

Ya tatuπŸ‘‡πŸΎ

https://www.instagram.com/p/DcTqZp6jPsq/?igsi=MTFwcGY4MjE4NGhzMg==

16/07/2026

Haijalishi unahitaji nini, K**a ipo ndani ya uwezo wa Namakha Bags tunahakikisha unapata.

Rasmi tumekuletea clutch Bag yenye zipu mbili. Unaipata kwa Tshs. 30,000/=

Wasiliana nasi 0718828294

17/04/2026

Begi ni Tshs. 60,000/= tu.
Namakha Bags imekuletea bag imara, zinadumu, na zimetengenezwa kumaliza stress za safari.

πŸ“ Kigamboni Kibada – Dar
🚚 Delivery popote

πŸ“ž +255 718 828292

Ukijua, unajua tu.

08/04/2026

Unahitaji kuwekewa logo?

03/04/2026

Begi la kukusaliti njiani? Sio hili πŸ˜„

Namakha Bags imekuletea bag imara, zinadumu, na zimetengenezwa kumaliza stress za safari.

Tshs 60,000/= tu
πŸ“ Kigamboni Kibada – Dar
🚚 Delivery popote

πŸ“ž +255 718 828292

Ukijua, unajua tu.

Address

Kigamboni, Kibada
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Najma Collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Najma Collection:

Shortcuts

Share