27/05/2026
Smart gate motor
Tunafunga smart gate motor kurahisisha matumiz yako ya geti, Kwa kutumia simu yako ya mkononi unaweza kufunga na kufungua geti lako
Tupigie 0746202089
Tupo Posta House dar es salaam, Tunafika mikoa yote
Gate motors zetu ni za kisasa unaweza kufungua gate lako Kwa remote mpaka umbali wa 100m.
Gharama zetu ni pamoja na ufundi.
Bei zinatokana na aina gani ya motor tunayofunga kutokana na uzito wa geti lako.
Smart Gatemotors’s price
D3 smart 1,550,000 ( uzito 0kg - 300kg, 1 backup battery)
D5 smart 1,650,000( uzito 0kg- 500kg, 1 backup battery)
D6 smart 1,850,000( 0kg - 600kg, 2 backup batteries )
D10 smart. 2,800,000. ( 0kg mpaka 1000kg, 2 backup batteries)
D20 smart. 3,000,000 ( Uzito 0kg -2000kg, 2 backup batteries)
Gharama hizi ni pamoja na ufundi
NB Mteja anatakiwa awe na gate la ku slide Na ameweka miundombinu ya umeme karibu na gate k**a hajaweka atanunua vifaa (wire tutamuekea)
Tutampatia remote control 2 na ataweza tumia simu kufunga na kufungua gate
GATEMOTORS warranty ni 3years