Wanawake Kujituma

Wanawake Kujituma Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wanawake Kujituma, Business Center, Sinza Africasana Ngome House floor 4, Dar es Salaam.

Tunaenda kufanya vitu vikubwa katika maisha yako
09/01/2026

Tunaenda kufanya vitu vikubwa katika maisha yako

08/12/2025

Thanani ya mwanamke mwenye nguvu nipale unapo pambani ndoto zako kwasababu mwanamke ukiwa hauna Cha kufanya uwingize pesa itakusababaishia kutokuonekana nadhifu
0758331787
Nikufundishe biashara ninayo ifanya

Usikubali kukatishwa tamaa au kukata tamaa mwenyewe my dear wewe unaweza
13/04/2025

Usikubali kukatishwa tamaa au kukata tamaa mwenyewe my dear wewe unaweza

KWA MAJINA NAITWA PAULINA NI MAMA FURSA HII NILIKUNANAYO MTANDAONI KABLA YA FURSA HII MIMI NIMESOMEA HOTEL MANAGEMENT SI...
13/04/2025

KWA MAJINA NAITWA PAULINA NI MAMA FURSA HII NILIKUNANAYO MTANDAONI KABLA YA FURSA HII MIMI NIMESOMEA HOTEL MANAGEMENT SIKUBAHATIKA KUAJIRIWA NILIKAA NYUMBANI KWA MUDA KADHAA NIKAONA SASA KWASABABU SINA CHA KUFANYA NIKAJARIBU KUFANYA BIASHARA YA KUKOPESHA VIJORA NIKAWA NACHUKUA HUKU DAR NAPELEKA DODOMA KWETU LAKINI NIKWAMBIE TU ILE BIASHARA ILIKUFA KWASABABU ILIFIKA HATUA WATU HAWARUDISHI MADENI YAO NA UKIWAFATA WAKAWA WAKARI IKABIDI NIIACHE KATIKA PITAPITA ZANGU MTANDAONII NIKAKUTANA NA PAGE YA MDADA MMOJA MPAMBANAJI AKANIFUNDISHA HII BIASHARA NIKAIELEWA NIKATOA MTAJI NIKAANZA NINANDOTO NYINGI K**A MAMA YA KWANZA KUMILIKI NYUMBA YANGU YA KIFAHARI KUWA NA GARI LANGU LA NDOTO KUMSOMESHA MWANANGU SHULE NZURI LAKINI PIA KUSAFIRI DUNIA
NA NINAAMINI ITAKUWA IVO
KUPITIA HII BIASHARA NIMEWEZA KUPATA FAIDA NYINGI SANA FAIDA YA KWANZA
👉FAIDA YA MAUZO
👉FAIDA YA KUKUTANA NA WATU POSITIVE
👉FAIDA YA BONUS CHECK
NAAMINI KUPITIA HII BIASHARA NITAENDA KUFANYA VITU VINGI SANA
📞0758331787

Alie ndani yako ndo anakuonngeresha kitu cha maana na huyo ndo anakusaidia kufanya maamuzi so jitahidi kumsikiliza mtu w...
13/04/2025

Alie ndani yako ndo anakuonngeresha kitu cha maana na huyo ndo anakusaidia kufanya maamuzi so jitahidi kumsikiliza mtu wako wa ndani zaidi kuliko mtu mwingine
0758331787

Kipindi naanza hii biashara sikuwa na malengo wala ndoto yoyote lakini namshukuru Sana ❤️ mungu nilipo iaanza hii biasha...
13/04/2025

Kipindi naanza hii biashara sikuwa na malengo wala ndoto yoyote lakini namshukuru Sana ❤️ mungu nilipo iaanza hii biashara ikanisaidia kupanga malengo na kujua mimi ninandoto kubwa kuliko kitu chochote Mimi ni mama na kupitia hii biashara mwanangu atakuwa mtoto wa tofauti sana📞📞 0758331787

Address

Sinza Africasana Ngome House Floor 4
Dar Es Salaam
16102

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wanawake Kujituma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wanawake Kujituma:

Share