Issack Kissy

Issack Kissy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Issack Kissy, Ubungo, Dar es Salaam.

Ubungo maziwa
02/04/2024

Ubungo maziwa

Wanadamu tunapenda uharibifu zaidi kuliko mazuri, tunapenda mambo mabaya zaidi kuliko mazuri. Wanadamu wanapenda kujarib...
11/12/2022

Wanadamu tunapenda uharibifu zaidi kuliko mazuri, tunapenda mambo mabaya zaidi kuliko mazuri. Wanadamu wanapenda kujaribu na hapo ndipo kwenye uharibifu. Vinywa vyetu vinazungumza mabaya tu sio mazuri, huyo ndiye mwanadamu.

Wanadamu wote wanapenda mabaya kuliko mazuri haijalishi ni mambo mangapi watatendewa, hawawezi kutangaza mazuri bali mabaya; hiki chanzo kilitokea mwanzo.

Adamu hakuthamini mema yote aliyopewa na MUNGU, kwake yalikuwa ni mambo yasiyomtosheleza ndio maana alijaribiwa na akafanye kile ambacho MUNGU alimwambia asifanye. Hayo ndiyo maisha yanayoendelea kwa wanadamu leo hii.

SOMO: IRUHUSU SAUTI YA MUNGU IKUONGOZE.

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Issack Kissy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share