iam_nasra_

Contact the business

iam_nasra_ Nawasaidia watu kuanza biashara kwa mtaji wa 200k na kutengeneza faida hadi Ml3+ kwa mwezi.

📞0755825599

13/10/2026

Muda huo ukifika utaona tu!

12/10/2026

Tukiongelea kujitambua sasa hapa nimekuandalia semina na event ya Beauty club seminar hapa Dar es salaam Alhamis hii 15/10 utakuja kujifunza kuhusu malezi,kujiheshimu,kujipenda,kujituma,afya ya akili,mwili,uzazi,kiuchumi,pesa na kiroho na utakutana na sisi mabinti na wanawake wenzio tulioweza kuvishinda vikwazo na kufanikiwa panapokupa wewe changamoto kupavuka. Namba ☎️0755825599 tiketi ni elf 15,000 pamoja na bites na vinywaji.

Mgeni rasmi na wazungumzaji ni surprise na exclusive sana utakutana nao ukumbini. Maana tutajifunza,tutaenjoy na kujua wapi tunaelekea 2026-2030 Vaa upendezeee!

11/10/2026

Sikia mshindi nakuombea sana sana utulivu,Amani,afya,ongezeko kwenye kila kitu unachofanya na kwenye maisha yako,neema ya mungu Narudia tena NEEMA YA MUNGU na KIBALI! Nataka ujue kwamba mungu anakupenda sana anakusikia anakulinda na anakuongoza! Hajawahi kukuacha hata ulipoona labda hakuoni. Endelea tu kuamini na kufanya unachotakiwa kufanya kuna siku utamuona kwa ukubwa sana kwenye maisha yako na utarudisha sifa na utukufu wote kwake na kusimulia namna wema wake na uwezo wake ulivo mkubwa kwenye maisha yako!

WEWE NI MSHINDI! THE UNSTOPPABLE EAGLES🦅🇹🇿

11/10/2026

UMASIKINI SIO KINACHOINGIA MFUKONI MWAKO NA KUTOKA!

Mungu akupe hekima zaidi ulitendee haki zaidi taji lako🥰🥰🥰 and huge congratulations tena JIHAN tunakupenda UMOJA NI NGUV...
10/10/2026

Mungu akupe hekima zaidi ulitendee haki zaidi taji lako🥰🥰🥰 and huge congratulations tena JIHAN tunakupenda

UMOJA NI NGUVU

10/10/2026

Mungu asante🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥳🥳🥳🥳 MGI’2026 is our very own Jihan Mohin Dimack🔥🔥🥳🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Nilivo na furaha hivi kesho na Jumatatu Nafundisha biashara bure kabisa tena hata usipoweka appointment Nitakufundisha mimi mwenyewe

🎯

10/10/2026

Uzalendo kwanza😂🥰🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Mungu asante

10/10/2026

MGI’26 TANZANIA🥳🥳🥳🥳🥳🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Our jihan anajibu vizuri sana maswali Ana composure na maturity yooh 🥰🔥🔥🔥🔥🔥tuendelee kumuombea this is it bana🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿...
10/10/2026

Our jihan anajibu vizuri sana maswali Ana composure na maturity yooh 🥰🔥🔥🔥🔥🔥tuendelee kumuombea this is it bana🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Natetemeka,machozi yananilenga🔥🔥🔥🔥🥰🇹🇿 our very own jihan anajibu vizuri sana maswali yaani🥳 aaah! Thi is it banaaa🥰🥰🥰
10/10/2026

Natetemeka,machozi yananilenga🔥🔥🔥🔥🥰🇹🇿 our very own jihan anajibu vizuri sana maswali yaani🥳 aaah! Thi is it banaaa🥰🥰🥰

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when iam_nasra_ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to iam_nasra_:

Shortcuts

Share