Scope Marketing

Scope Marketing ScopeMarketing is an online marketing agency specializing in Social Media Advertising. Our goal is to

26/02/2022

πŸ”₯ Suluhisho la kuondoa uchafu sugu na madoa magumu..

Kwenye vifaa vyako vya nyumbani, ofsini na jikoni kwako.

Hii ni technolojia mpya na madhubuti ya kusafisha...

Korean pot cleaning cream.

πŸ“’πŸ” Kujua zaidi kuhusu bidhaa hii ikiwa ni pamoja na kuweka Oda yako.

Bofya hapa..πŸ‘‡

https://smartmarketers.co.tz/pot-cleaner/

Husafisha

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

βœ… Mafriji

βœ… Air Conditioner AC

βœ… Oven

βœ… Hot pot

βœ… Sufuria

βœ… Sahani

βœ… Gas Stoves

βœ… Spot rims za magari

βœ… Vioo vya bafuni

βœ… Vioo vya magari

βœ… Vioo vya milango na madirisha

βœ… Vioo vya ukutani

βœ… Majiko ya gesi

βœ… Meza za Vioo na za mbao

βœ… Vyuma, glass, ceramic tile na plastic...

βœ… Huua bakteria wabaya na kuhakikisha usalama wa familia yako

Ina viambata asili kabisa..

Na ni Salama na rafiki kwa mtumiaji na mazingira pia.

Hili ni bidhaa maalum na suluhisho la kipekee la kusafisha na kung'arisha vifaa vya nyumbani, ofsini na jikoni kwako.

Pamoja na ofsini kwako pia.

Kuletewa ni BURE..

Mpaka nyumbani kwako au ofsini kwako.

Ukiwa ndani ya Dar es Salaam.

Mkoani mzigo unatumwa kwenye Gari..πŸš›

Weka Oda yako sasa hivi Kabla ujumbe huo haujatoka hewani

19/02/2022
08/12/2021

πŸ”₯‼️..DARASA LA BURE WHATSAPP..‼️πŸ”₯

JINSI YA KUTUMIA SMARTPHONE YAKO...

KUTANGAZA NA KUUZA BIDHAA AU HUDUMA YAKO KWENYE MTANDAO WA INTERNET🌍

NA KUTENGENEZA Tsh. 735,000...Tsh. 995,000
..HADI Tsh. 1,350,000 KILA MWEZI πŸ’΅ 🏧

KIURAHISI KABISA HATA K**A WEWE ULIISHIA DARASA LA TATU...🀦

Mpendwa Mjasiliamali

Ndani ya Darasa hilo unaenda kugundua...

πŸ‘‰ Mambo..

πŸ‘‰ Siri..

πŸ‘‰ Mbinu..

Na

πŸ‘‰ Formula mbalimbali k**a ifuatavyo..

βœ… Makosa 7 wanayofanya wajasiliamali wengi wanaouza na kutangaza biashara zao kwenye mtandao wa Internet..
..Makosa haya husababisha wengi huishia Kupata comments, like na shares
..Au kukosa kabisa mauzo na akaunti zao kufungwa

βœ… Siri 9 za kujua ILI uweze kufanikiwa kuendesha biashara yako Kitaalam kwenye mtandao wa Internet
..Jua Siri hizi uanze kuuza k**a wenzako

βœ… Mambo 5 ya KUZINGATIA kwenye tangazo lako ILI liweze Kunasa Wateja Wengi.
.. wajasiliamali wengi kukosea sana hapa

βœ… Jinsi ya kutengeneza Facebook Ads Account
..Mada hii itakusaidia kuendesha Matangazo yako Kitaalam zaidi na Uhakika wa Kunasa Wateja Wengi

βœ… Jinsi ya kuweka malipo kwenye Facebook ads account yako
..ILI uweze kulipia Matangazo yako na Facebook wawe wanakata hela yao moja kwa moja

βœ… Jinsi ya kutengeneza ya Airtel MasterCard au Halotel MasterCard Kwenye Simu yako
..Sasa utaweza kulipia Matangazo yako ya Facebook na Instagram hata k**a huna kadi ya banki au ATM card

βœ… Hatua 3 za kufuata unapofungiwa page yako au account yako ya Matangazo
.. utaweza kurudisha account yako unapofungiwa na Facebook

βœ… Mambo 3 ya kufanya Kabla ya kuendesha tangazo kwenye mtandao wa Internet
...Wajasiliamali wengi wanakosea hapa...ndiyo maana Matangazo yao hayanasi wateja.

βœ… Jinsi ya kusuka OFA ya kufa mtu ambayo itawatoa udenda Walengwa wako sahihi
...ukifanya hivyo watanunua k**a wazimu

βœ… Changamoto 9 zinazo wakabili wajasiliamali wadogo wanaouza na kutangaza biashara zao kwenye mtandao wa Internet
...Ndiyo maana wengi wao biashara zao hazikui

βœ… Jinsi ya kuwalenga Walengwa sahihi wa biashara...ILI uweze kuwanasa k**a kambale
..Hapa ni muhimu sana kupajua

βœ… Application muhimu sana na ya lazima kuijua na kuitumia k**a unataka kuendesha Matangazo yako kwenye mtandao wa Internet kwa kutumia Smartphone yako..
.. wajasiliamali wengi hawaijui

βœ… Jinsi ya kutumia formula yangu ya TVO kujenga uaminifu na hatimaye kufanya mauzo ya kufa mtu..
..Wengi hawafanya hivyo

βœ… Jinsi ya kuongea na wateja wako ILI wanunue KIURAHISI..
.. wajasiliamali wengi hupoteza wateja na mauzo mengi kwenye hii hatua.

βœ… N.K

ONYO....Darasa hili ni kwa wajasiliamali wachache tu..

Ambao wako serious kutangaza na kukuza biashara..

Bofya hii linki >>> https://chat.whatsapp.com/JY38qSOaA5g4ov7brEOjQN kuingiza Darasani sasa hivi..
..Fanya haraka sana

Kabla group halijaja

ILI kuepusha usumbufu

Hakika utakuja kunishukuru baadae..

Best

Ezekiel Mahewa

Facebook Ads & Master Copywriter

14/06/2021

πŸ’₯ BADO HUPATI WATEJA MTANDAONI πŸ™†β“
Hata k**a ukilipia matangazo
Yaani Sponsored ads❓
⁣
Badala yake unajikuta unapata likes nyingi kuliko wateja....Yaani post inakuwa na likes 10k, 20k, 50k lakini watu waliokupigia simu hawazidi hatai 20. ⁣
⁣.na wengi wao wameuliza tu bei na kuondoka.
..yaani hujafanya mauzo kabisa ‼️
⁣
SIO SIRI HII INAUMA. .⁣
Tena inauma sanaa 😭😭😭😭.⁣
⁣
Chanzo kikubwa ni:-β£πŸ‘‡
⁣
1️⃣. Una boost post zako. badala ya kuset tangazo kupitia Ads manager tool.⁣
⁣
2️⃣. Unawapeleka wateja kwenye profile yako (visit insta profile).⁣
Badala ya kuwapeleka sehemu ya kufanya mauzo. ⁣
⁣
3️⃣. Hufanyi Audience Targeting ..yaani kuchagua interest, behaviour na demographics.⁣
⁣
4️⃣. Unalipia kwa Mfumo wa CPM badala Ya CPC.⁣
⁣
5️⃣. Matangazo (post) zako hazina mvuto.⁣
⁣
Hizo ni sababu kubwa zinazokusababishia wewe matangazo yako ya sponsored kupata likes nyingi kuliko wateja.⁣
⁣
Na k**a hutapata elimu zaidi kuhusu sponsored utamaliza pesa zako ku boost na ku promote post zako bila kupata mafanikio na kuingia hasara tu ya matangazo.⁣
⁣
Fanya maamuzi leo ya kupata elimu kuhusu matangazo ya sponsored⁣ ads
πŸ‘‰ ...na jinsi ya kupata wateja mtandaoni
⁣
πŸ‘‰ Namna ya kuaanda matangazo ya sponsored..Kwa kutumia ads manager
πŸ‘‰ Na namna ya kutumumia mfumo wa CPC utakaokusaidia kupunguza gharama za matangazo.⁣
⁣
πŸ‘‰ Pa namna ya kufanya Audience Targeting ili kuwafikia wateja husika kwa zaidi ya 80%⁣
⁣
Best
Ezekiel Mahewa

P: S. K**a WEWE ni Mjasiliamali unayehangaika Kunasa Wateja Wengi Kwenye Mtandao wa Internet na umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu na utapenda kupata msaada wa...

βœ… Kufanyiwa utafiti ili kutambua Aina sahihi ya walengwa au wateja sahihi wa biashara yako

βœ… Kutengeneza Ofa za kufa mtu, zenye uhakika wa Kunasa Wateja Wengi

βœ… Kutengeneza bandiko/ Ad Copy zenye kuvutia wateja

βœ… Au Mimi na timu yangu tukusaidie kusimia na Kukufanyia Matangazo yenye uhakika wa Kunasa Wateja Wengi Kwenye Mtandao wa Internet
.. Ili kufanya mauzo mengi sana kila mwezi na kukuza biashara yako kupitia Mtandao wa Internet

Basi..

Tupigie au tutumie ujumbe WhatsApp..kupitia namba >>> 0769411309

P. P: S. Fursa hii ni kwa wajasiliamali 7 Tu..

Ili tuweze kuwahudumia vizuri zaidi..

Tupigie sasa Kujipatia fursa hii Mapema Kabla wenzako hawaja kuwahi...

πŸ‘‰ Pia namna ya kufanya Audience Targeting ili kuwafikia wateja husika kwa zaidi ya 80%

Best

Ezekiel Mahewa

P: S. K**a WEWE ni Mjasiliamali unayehangaika Kunasa Wateja Wengi Kwenye Mtandao wa Internet na umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu na utapenda kupata msaada wa...

βœ… Kufanyiwa utafiti ili kutambua Aina sahihi ya walengwa au wateja sahihi wa biashara yako

βœ… Kutengeneza Ofa za kufa mtu, zenye uhakika wa Kunasa Wateja Wengi

βœ… Kutengeneza bandiko/ Ad Copy zenye kuvutia wateja

βœ… Au Mimi na timu yangu tukusaidie kusimia na Kukufanyia Matangazo yenye uhakika wa Kunasa Wateja Wengi Kwenye Mtandao wa Internet
.. Ili kufanya mauzo mengi sana kila mwezi na kukuza biashara yako kupitia Mtandao wa Internet
Basi..

Tupigie au tutumie ujumbe WhatsApp..kupitia namba >>> 0769411309

P. P: S. Fursa hii ni kwa wajasiliamali 7 Tu..
Ili tuweze kuwahudumia vizuri zaidi..

Tupigie sasa Kujipatia fursa hii Mapema Kabla wenzako hawaja kuwahi...

29/07/2020

Good Friends

Je❓

Una Biashara au huduma na unahitaji...

βœ… Kukuandikia tangazo lenye kuvuta wateja...

βœ… Kuwafikia watu wengi...

βœ… Kupata wateja wengi...

βœ… Kupata wateja Sahihi na Bora kwenye Biashara au huduma yako❓

Nasaidia wajasiliamali K**a WEWE kupata

wateja wengi zaidi na kuongeza mauzo kupitia

SOCIAL MEDIA MARKETING..

K**a ungependa tuongee stratejia ya bidhaa au huduma unayotoa...

Basi...

Naomba tuwasiliane..
.. WhatsApp+255769411309

Nikufahamishe zaidi...

Ezekiel

Social Media Marker & Copywriter
--------------------------------------------------------------------------

Address

Mwanga Market
Dar Es Salaam
634

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Scope Marketing posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share