10/07/2026
Jamie Vardy ni mchezaji wa soka wa Uingereza aliyezaliwa tarehe 11 Januari 1987 huko Sheffield, England. Jamie Vardy. Kabla hajawa mchezaji maarufu wa soka, Jamie Vardy alikuwa akifanya kazi katika kiwanda kinachotengeneza vifaa vya matibabu (medical splints) huku akicheza soka katika ligi za chini za Uingereza.Mwaka 2012 akasajiliwa na Leicester City.
Mwaka 2015–16 akaisaidia Leicester City kushinda Premier League.
Akawa mmoja wa washambuliaji maarufu nchini England.