Dirm VFD

Dirm VFD We are Dealing with selling and Supplying Vfd System all over the Nation with the Affordable price.!

Risiti za EFD kwa kutumia simu au laptop 0692099113
19/02/2024

Risiti za EFD kwa kutumia simu au laptop

0692099113

Zipo
18/01/2024

Zipo

Sasa tupo mpaka kwenye vituo vya mafuta 0759330693
03/09/2023

Sasa tupo mpaka kwenye vituo vya mafuta 0759330693

Kwa wakala wa Bank jipatie printer kwa bei ya punguzo kabisa 150,000 tu piaga simu 0759330693
02/09/2023

Kwa wakala wa Bank jipatie printer kwa bei ya punguzo kabisa 150,000 tu piaga simu 0759330693

TUMIA SIMU YAKO YA MKONONI  KUTOA RISITI ZA EFD UKIWA NA MFUMO WA DIRMVFD.DirmVFD ni mfumo unaotumia teknolojia ya ya ki...
01/09/2023

TUMIA SIMU YAKO YA MKONONI KUTOA RISITI ZA EFD UKIWA NA MFUMO WA DIRMVFD.

DirmVFD ni mfumo unaotumia teknolojia ya ya kisasa inayokuwezesha kutoa risiti halali za EFD kidigitali kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta.

sifa za mfumo za mfumo huu ni k**a ifuatavyo;

1.uwezo wa kutma z-report otomatiki TRA
2.idadi ya watumiaji bila kikomo
3.inaendana na matakwa ya sheria za kodi kwenye z-ripoti na VAT
4.uwezo wa kutoa risiti nakala ngumu na nakala laini
5.idadi ya watumiaji bila kikomo
6.akaunti moja kutumika zaidi ya ofisi 1000
7.kutunza taarifa za wateja wako na bidhaa zako na
8.Bei yake ni nafuu sana Tshs 250,000.

mahitaji ili uunganishwe ni;
1.cheti cha biashara yaani TIN CERTIFICATE
2.kitambulisho cha NIDA au cha mpiga kura au leseni ya udereva.

kwa maelezo zaidi tupigie simu 0759330693/0692099113
Tupo Dar es salaam;
Mbezi Beach Tangi Bovu

19/08/2023

Tumia simu yako ya mkononi k**a kifaa cha kutolea risiti za EFD kwa gharama ndongo sana 250,00 tu

Piga simu number 0759330693

Address

Mbezi Beach Tangi Bovu , 2 Floor, P. O. Box 35880
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dirm VFD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share