07/03/2026
UNUNIO DAR ES SALAAM -PLOT FOR SALE
▪︎Kiwanja kimezungushiwa fensi ya tofali chote na kina geti. Kina nyumba ya vyumba 2 na mashimo 2 mapya ya maji taka.
▪︎SIZE: SQM 10008 -Pana hati miliki ya wizara
▪︎Kiwanja kinatizama barabara kubwa ya mtaa
▪︎BEI YA KUUZA: TSH 350MILION TU (maongezi kidogo)
👉🏽PANAFAA SANA KWA
□Makazi / Biashara
•Apartment
•Hotel
•Frame
•Yard
•Godown n.k
¤Kwa maelezo zaidi ikiwa nipamoja na kwenda kupaona / kulipia, karibu nipigie kwa namba +255 744 86 86 86
■KWA KAZI ZOTE NJEMA ZINAZO MHITAJI DALALI
Mimi, Dalali sahihi kwaajili yako 2026 -Karibu
"KWA HUDUMA HIZI"
}Viwanja: Kununua ama Kuuza
}Nyumba/Apartment: Kununua, Kuuza, Kupangisha
}Godown: Kupangisha, Kuuza, Kununua.
}Frame: Kupangisha, Kununua, Kuuza
}Showroom/Yard: Kupangisha, Kuuza, Kununua
}Maeneo ya wazi/Open space, Kupangisha
}Office: Kupangisha, Kuuza, Kununua
}Magari aina zote: Kununua, Kuuza, Kukodisha
}Pikipiki aina zote/Bajaj: Kuuza ama Kununua.
♡Jumla ya huduma hizi na nyingine nyingi ni kila kona ya jiji la Dar es salaam na mikoa jirani[Simu ziite nikuhudumie chap]
■follow} GM Dalali Mcha Mungutz
[Real estate Agency]
■Mawasiliano yangu ni +255 744 86 86 86 kwa kupiga, kutuma sms pia WhatsApp
■Email} [email protected]
■Brela registration} 617572
■P.O. Box 0002 -Dar es salaam