17/02/2020
Jua ni Kali mno lkn alishind LA kiama maisha ni magumu sana lknayashind ya moton joto ni Kali mno lkn alishind LA kabulin maisha ni marefu mno lkn ayashind ya pepon mtume Muhammad (s.a.w.) anasema sala ndio kivuli chako swaumu ndio king yako qur-an ndio hoja yako saddakat ndio mtetezi wako