15/02/2023
Je, Umewahi kujuwa ya kuwa Kumbe chaki haitumiki tu na Waalimu Kufundishia Mashuleni,,,, Haya ni matumizi mengine Ambayo chaki inaweza kutumika.
FUNDI SELEMALA akiweka alama zake vzr ili aweze kutengeneza kile kinatakiwa..........................
kwa mahitaji ya Chaki bora ambazo hazitoi vumbi kabisa,, Zinapatikana FORSHAK TANZANIA LIMITED pekee....
Tupigie sasa ili tukuhudumie
+255 655063008