Ondoa Uchafu Sugu Kwenye Masink Na Tiles Bila Gharama Kubwa Sana.

Ondoa Uchafu Sugu Kwenye Masink Na Tiles Bila Gharama Kubwa Sana. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ondoa Uchafu Sugu Kwenye Masink Na Tiles Bila Gharama Kubwa Sana., Business service, Buguruni, Dar es Salaam.

17/03/2023

Epuka tatizo la uchafu sugu uliokomaa na kufubaza sink na tiles zako, tatua tatizo hili bila gharama kubwa sana.
Karibu sasa kwa maelekezo ya bure.
Whatsapp
0656214630

JINSI YA KUONDOKANA NA TATIZO LA UCHAFU SUGU KWENYE MASINK NA TILES.Sote tunafahamu ya kwamba kuwa na ucha sugu ulio kwe...
16/03/2023

JINSI YA KUONDOKANA NA TATIZO LA UCHAFU SUGU KWENYE MASINK NA TILES.

Sote tunafahamu ya kwamba kuwa na ucha sugu ulio kwenye masink na tiles chooni ni aibu na hakuna anayependa kuwa na hali hiyo iwe nyumbani ama ofisini kwako, choo safi kinakupa amani wakati wa kukitumia, basi k**a nawe ni mmoja wa wanaosumbuliwa na tatizo hilo, usisite kufika darasani kwetu, kwa kujifunza njia bora ya kuondokana na tatizo hilo. Join kwa link hii

https://chat.whatsapp.com/BYri4PRXkrf8PkMzANUC6w

Au tuma sms whatsapp tukuunge
No. 0656214630

Usipige tuma ujumbe whatsapp.

Sote tunafahamu ya kwamba tatizo na kuwa na masink yaliyogina chooni ni baya na inaleta aibu, hivyo basi kuna darasa la ...
10/03/2023

Sote tunafahamu ya kwamba tatizo na kuwa na masink yaliyogina chooni ni baya na inaleta aibu, hivyo basi kuna darasa la bure limeandaliwa mahususi kwa ajili yako wewe unayepitia changamoto hii, jifunze namna ya kulisafisha kwa muda mchache sana, ndani ya nusu saa linakuwa safi k**a zamani.
Bofya link hii hapa chini, tukutane bure darasani

https://chat.whatsapp.com/BYri4PRXkrf8PkMzANUC6w

Address

Buguruni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ondoa Uchafu Sugu Kwenye Masink Na Tiles Bila Gharama Kubwa Sana. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share