Axon Hub

Axon Hub AXON HUB ENTERPRISES is an ICT and Security Systems specialist firm providing quality and competitively priced services to customers locally and globally.

10/02/2021

Domestic Automotive sliding gate motor.

10/02/2021
27/01/2021

Uwepo wa vifaa bora vya kufanyia kazi huchagiza utendaji bora kwa mafundi ktk kazi zetu mbalimbali.

Kwa mahitaji ya kufungiwa uzio wa umeme (Electric fence) na CCTV cameras tafadhari tupigie au fika ofisini magomeni mwem...
27/01/2021

Kwa mahitaji ya kufungiwa uzio wa umeme (Electric fence) na CCTV cameras tafadhari tupigie au fika ofisini magomeni mwembechai karibu na msikiti wa mwembe chai.

Tupigie kwa namba 0622 600 991 Au 0714 600 991.
Ahsante.

CCTV cameras installation.Wasiliana nasi kwa huduma ya kufungiwa CCTV cameras kwajili ya ulinzi wa mali zako.Bei zetu ni...
27/01/2021

CCTV cameras installation.

Wasiliana nasi kwa huduma ya kufungiwa CCTV cameras kwajili ya ulinzi wa mali zako.

Bei zetu ni nafuu sana na tunafanya kazi mikoani pia.

Tupigie kwa namba: 0622 600991 au 0714 600 991.

Ofisi zetu zipo magomeni mwembe chai karibu na msikiti wa mwembechai.

23/01/2021

Work in progress, CCTV cameras installation.

22/01/2021

Kazi bora na Safi inahitaji mafundi bora, Axon Hub ndiyo kitovu chake. Hapa tuna test mashine.

22/01/2021

Hakika Axon Hub tunajivunia kuwa na mafundi bora na wabobezi katika mifumo ya ulinzi na usalama.

Karibuni kwa huduma ya kufungiwa CCTV cameras, Electric fence, Automotive gate motors, Video intercom, n.k, huduma zetu ni bora na zenye bei ya ushindani.

Wasiliana nasi kwa no: 0622 600991 au 0714600991.

Karibuni sana.

31/12/2020

Call us now:
0622 600991
0714 600991

Get a free quotation.

Tunawatakia kheri ya sikukuu ya  X-Mass na mwaka mpya wenye fanaka na mafanikio.
24/12/2020

Tunawatakia kheri ya sikukuu ya X-Mass na mwaka mpya wenye fanaka na mafanikio.

Address

Magomen Mwembechai, Kimamba Street Near Mwembechai Mosque
Dar Es Salaam
P.O.BOX7416

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Axon Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share