Jikomboe Kiuchumi

Jikomboe Kiuchumi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jikomboe Kiuchumi, Business Center, Dar es Salaam.

NI ZAMU YA ARUSHA SASA๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘HELLONaongea na wewe kijana au mtu mzima uliyepo Arusha unatamani kujiongezea kipato kwa muda...
12/04/2023

NI ZAMU YA ARUSHA SASA๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

HELLO
Naongea na wewe kijana au mtu mzima uliyepo Arusha unatamani kujiongezea kipato kwa muda wako WA ziada

NI KESHOOOOOOO
SAA NANE MCHANA JENGO LA MEGA COMPLEX KARIBU NA STAND KUBWA

Njoo ujifunze NAMNA unavyoweza kutumia muda wako WA ziada na kujiongezea kipato endelevu
Usipange kukosa mjulishe na mwenzio anayetamani jiongezea kipato

MWENYEJI WAKO
DYNESS 0763931154

IWE NI NYUMBANI AU OFISINI BADO TUNATAMANI UFANIKIWE๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘NJOO UJIFUNZE JINSI UNAVOWEZA KUFANIKIWA KUPITIA MTAJI MDOGO SA...
20/10/2022

IWE NI NYUMBANI AU OFISINI BADO TUNATAMANI UFANIKIWE
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

NJOO UJIFUNZE JINSI UNAVOWEZA KUFANIKIWA KUPITIA MTAJI MDOGO SANA NA KUTIMIZA MALENGO YAKO

NIPIGIE SASA
0622196699

HONGERA SANA KIONGOZI FADHILI KWA KUZAWADIWA GARI NA KAMPUNI YA BF SUMA๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™ŒHAYA NI MATOKEO YA KUJITUMA KWAKO NA KUWAFANY...
20/10/2022

HONGERA SANA KIONGOZI FADHILI KWA KUZAWADIWA GARI NA KAMPUNI YA BF SUMA๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
HAYA NI MATOKEO YA KUJITUMA KWAKO NA KUWAFANYA WENGINE KUFANIKIWAA
HONGERA KWA KUTIMIZA MOJA YA NDOTO ZAKO

BIASHARA KUBWA MTAJI MDOGO NA MAFANIKIO MAKUBWA๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช

DREAM CRAZY๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ชBIASHARA KUBWA MTAJI MDOGO MAFANIKIO MAKUBWAUNGANA NASI TUTIMIZE NDOTO YETUK**A BADO HUJUI CHA KUFANYA T...
18/10/2022

DREAM CRAZY
๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช

BIASHARA KUBWA MTAJI MDOGO MAFANIKIO MAKUBWA

UNGANA NASI TUTIMIZE NDOTO YETU

K**A BADO HUJUI CHA KUFANYA TUMA NENO MAFANIKIO KUPITIA 0622196699

18/10/2022
WANAWAKE WANAWAKEE WANAWAKEEE!!!!!!!! NAHITAJI WANAWAKE 50 TU SERIOUS WENYE UTHUBUTU NA WAPENDA MAENDELEO๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅWOMEN WHO WI...
17/10/2022

WANAWAKE WANAWAKEE WANAWAKEEE!!!!!!!! NAHITAJI WANAWAKE 50 TU SERIOUS WENYE UTHUBUTU NA WAPENDA MAENDELEO๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

WOMEN WHO WIN MOVEMENT๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช

K**a wewe ni mwanamke
na una NDOTO Basi hii inakuhusu sanaaa
TUNA PLAN KIBOKOO SANA KWA AJILI YAKO WEWE INAITWA WOMEN WHO WIN MOVEMENT ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‘‰Wewe Mwanamke Mwajiriwa ambaye unapata mshahara lakini hautoshi lakini
unatamani kuwa na kipato cha ziada.

๐Ÿ‘‰ Wewe Mwanamke Mfanyabiashara ambaye umejaribu biashara nyingi lakini unaishia kupata hasara na madeni mengi

๐Ÿ‘‰ Wewe Mwanamke ambaye ni Mama wa nyumbani na unatamani
kuanza kutengeneza kipato chako ukiwa nyumbani.

๐Ÿ‘‰ Wewe Mwanamke ambaye umehitimu chuo lakini hujapata ajira, umetuma CV na
kutembea nazo kila ofisi lakini hujapata ajira.

Tuko na idea ya biashara ambayo haina hasara haihitaji usimamizi mkubwa na kuweza kukupatia kipato ambacho ni endelevu

Biashara haihitaji CV kikubwa uwe na NDOTO, UTHUBUTU na MALENGO

Biashara ambayo utaanza kwa mtaji mdogo sanaa

Njoo ujifunze Kwa wanawake wengine waliofanikiwa

Tuma neno MAFANIKIO kwenda WhatsApp namba 0622196699

Hongera sana Kiongozi wangu Bariki Masatu kwa kushinda gari la Bf Suma 2023.Hakika unastahili wewe ni mfano wa kuigwa mz...
17/10/2022

Hongera sana Kiongozi wangu Bariki Masatu kwa kushinda gari la Bf Suma 2023.

Hakika unastahili wewe ni mfano wa kuigwa mzee baba.

Hakika mafanikio ni mchakato maana ilikulazimu:-

1. Kuipambania NDOTO yako,

2. Hukuidharau NDOTO yako,

3. Uliishi NDOTO yako,

4. Uliitegemeze NDOTO yako,

5. Ulimkabidhi Mungu NDOTO yako.

Itoshe tu kusema NDOTO imetimia maana palipo na malengo mahususi.

Hongea Sana Sana kiongozi Bariki. Umetoka Dubai juzi leo unatangazwa mshindi wa gari hii ina maanisha daladala sasa basi, bodaboda Sasa basi.

Hakika Bf Suma haidanganyi maana inatimiza ahadi zake. Tukutane Dec 21, 2022 pale Mlimani City Conference Hall watakapokabidhiwa washindi magari yao.

Tiketi ni Tshs10,000, 20,000, VIP 100,000 na VVIP 200,000 piga simu namba 0622196699



Hongera sana kiongozi Asia Mkuki mpambanaji wa kweli kwa kushinda safari bf suma 2023. Hakika unastahili kuwa hapo maana...
17/10/2022

Hongera sana kiongozi Asia Mkuki mpambanaji wa kweli kwa kushinda safari bf suma 2023. Hakika unastahili kuwa hapo maana:-

1. Ulichekwa Sana
2. Uludharaurika sana
3. Ulidhihakiwa Sana
4. Ulionekana hamna mbele Wala nyuma

Lakini baada ya kushinda hayo yote. Leo umetengeneza historia mpya baada ya kukubali:-

1. Kufundishika
2. Kujituma
3. Kuongea na watu
4. Kuhudumia watu
5. Kujenga timu
6. Kufocus katika ndoto yako
7. Kuifanya ndoto kuwa kweli

Haya yanawezekana kwa mtu mwenye ndoto kubwa na anayejua kusudi la yeye kuwepo duniani.

Hongera sana kiongozi wangu na mshindi wa safari mwaka 2023 hakika unastahili.

K**a wewe unevutiwa na mafaniko ya kiongozi wangu huyu. Wala usijali wasiliana nami nikuelekeze cha kufanya maana nijataarifa zote sahihi.

Tuma ujumbe WhatsApp kwa simu namba -0622196699 anza na neno Fursa.




HII NI BIASHARA PEKEE ILIYONIPA THAMANI KUBWA SANAWanawake wengi ni watu wa kujikatia tamaa kwa sababu ya vikwazo vinavy...
14/10/2022

HII NI BIASHARA PEKEE ILIYONIPA THAMANI KUBWA SANA

Wanawake wengi ni watu wa kujikatia tamaa kwa sababu ya vikwazo vinavyowapata, THE ONLY THING I CAN ASSURE WOMAN WATCHING THIS, usikate tamaa

Kwenye maisha kuna changamoto nyingi sana, hivyo changamoto hazitakiwi kuzidi Ukubwa wako. Kuna kuachwa, kukataliwa, kubezwa, kukatishwa tamaa, Kutengwa, kusimangwa, kubaguliwa yaani kuna kila aina ya maumivu ila SIMAMA SONGA MBELE. Anaekudharau leo siku moja atakusalimia kwa Heshima.

Mwanamke mwenzangu THAMANI YAKO NI KUBWA, jitafute utajipata. Youโ€™re one in the millions.

K**A HUJUI NAMNA YA KUJITAFUTA NJOO NIKUONESHE

Kila mtu Ana haki ya KUHESHIMIKA, ila kabla hujapata heshima, ni lazima uguse maisha ya watu. Linapotajwa jina lako uwe ...
14/10/2022

Kila mtu Ana haki ya KUHESHIMIKA, ila kabla hujapata heshima, ni lazima uguse maisha ya watu.
Linapotajwa jina lako uwe ume Impact watu wa aina fulani.
Kila mmoja Ana haki ya kufanikiwa, mafanikio lazima kwa yeyote mwenye kuiona fursa na kuipokea na kuifanyia kazi.

Hivi ndivyo tuliagwa jana pale Julius Nyerere airport. Hii ni Maana halisi ya IMPACT.

INAWEZEKANA JAMANI INAWEZEKANA

๐Ÿค๐Ÿค Kwani kina diamond na wengine Ndio waagwe vizuri Kwani wao wana macho manne? Mikono minne? Hapana!

Kila siku omba MUNGU AKUPE JICHO LA TATU LA KUONA FURSA

NILIIONA FURSA NIKAICHAGUA NA LEO HAYA NDIO MATUNDA ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ



14/10/2022

Kuna watu hawana uwezo wa kukupatia pesa Ila wanauwezo wakukutajia na kukuonyesha sehemu ya kupata pesa

Naweza kukuonyesha mfumo mzuri wa kupata pesa Kwa kutumia mdaa wako waziada

Hili nalifanya Kwa watu wengi Sana kwasasa

Sehemu unayoweza kujiongezea kipato a kuanzia laki moja Hadi laki tano Kwa week

Wasiliana nami Kwa Namba 0622196699 nikuonyeshe mfumo huo

K**a upo serious nanikwatu wa dar Tu

Asante

Hellow Dubai๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ชThink Big in Dubai ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ชMoja ya faida ya vitu tunavyopata katika biashara ya mtandao ni travel award Ki...
14/10/2022

Hellow Dubai๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช

Think Big in Dubai ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช

Moja ya faida ya vitu tunavyopata katika biashara ya mtandao ni travel award

Kila mwaka Kuna safari zinatolewa kwa walio kizi vigezo

Mwaka huu it's Dubai na Paris

Hili huwezi ona kwenye professional nyingine kuwa na MDA WA ku travell kwenda kurela

Matukio yote ya Dubai utayaona Hapa

Nifwatilie

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255622196699

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jikomboe Kiuchumi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jikomboe Kiuchumi:

Share