20/07/2026
Tumia mwani k**a sehemu ya lishe . Una Madini ya zinc, chuma, magnesiamu na madini mengine muhimu kwa mfumo mzima wa mwanadamu . Mwani kwa kingereza ni ( )
Tafadhali tunafanya delivery kila siku, tunapima kuanzia 250g huu ni ujazo mdogo zaidi
Mwani wa Unga upo
500g - 30,000/=Tsh
250g - 15,000/=Tsh
Mwani mkavu upo
1000g-30,000/=Tsh
500g-15,000/=Tsh
MWANI MKAVU
Chukua Mwanii kiasi kidogo tu , osha vizuri ( hakikisha ni safi harufu na michanga yote imetoka) osha zaidi za Mara 3
Loweka Unachanganya na ndimu ya tunda au limao inasaidia kukata shombo k**a unavyoandaa samaki wabichi, kisha loweka mwani wako na maji masafi, utaanza kuumuka kwa mda kuanzia masaa 12….. na kuendelea mpaka uwe Laini vizuri Kisha Saga kwenye blender utapata GEL
unaweza kuongeza •iriki ,
•karafuu,
•tangawizi,
• mdarasini
•Kokoa au matunda unayotaka wewe, ukipenda lkn sio lazima,
Saga dk kadhaa utapata GEL kiasi Cha maji kadiria hifadhi vizuri kwenye fridge tayar kwa matumizi
lakin pia unaweza kutumia fresh bila kuchanganya kwenywe chakula ni Sawa pia.
FAIDA ZA MWANI
-Huimarisha kinga ya mwili
-Mwani ni mzuri kwa afya ya mifupa, Macho ,joint, misuli, ini, ngozi, moyo, nk
-Hupunguza unene
-Mwani unaboresha mmengenyo wa chakula kutoa gas na Husaidia vidonda Vya tumbo
-Mwani unafaa kwa afya ya uzazi jinsia zote huboresha tendo la ndoa
-Husaidia kuthibiti homoni
Ukianza kutumia mwani unakua hujakosea unachukua madini mengine yote kwa usawa wa uwiano.
Tuko hapa kusaidia kwa maswali yoyote.
Call/WhatsApp: +255785070444.
Tupo kigamboni DSM,
Tunafanya Delivery Kila siku kwa DSM
POPOTE ULIPO (OFISINI AU NYUMBANI)
TUNAKULETEA utachangia nauli 3000tu
Mikoani tunatuma Kila siku
Share hi Kwa wapendwa wako ili uweze kuwafikia wengi zaidi.
Na k**a una maulizo mengine yeyote kuhusu sea moss (mwani) Matumizi sahihi, namna ya kuandaa mwenyew, Usisite kuuliza utajibiwa kwa Upendo mkubwa huduma hii ni bureee